Mangungu
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 2,404
- 3,061
- Thread starter
- #121
Kuna za wapi na wapi bwana mawazo ujenzi maana mimi bado hujanitumia! brashi001@gmail.com
Nmb western zone na Nmb eastern zone, wait nikitulia ntakutumia
Kuna za wapi na wapi bwana mawazo ujenzi maana mimi bado hujanitumia! brashi001@gmail.com
Wadau naleta kwenu
Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!!
Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!
-------------------
mwenye experience na hawa nmb.....kwenye kuita huwa wanatumia simu au email??
wanapiga simu mkuu, utaona simu za nyumbani au maofisini
Tafuta mtu azogeze cv
namba uniwekee kwenye email: okhanioja@gmail.comMwenye email anitumi,nimutumie aziweke jukwaani
Nitumie mail yako!! Kwan jamaa kanitumia inasumbua kuicopy na kuipaste!!!
Naomba uniwekee hizo nafasi kwenye hii mail ndugu
okhanioja gmail.com
Deadline ilikua tarehe 21/3/2014 hiyo ya tarehe 12,sijui ni tangazo la Nmb zone ipi!
Deadline ni trh 12
na letter iwe duly signed akimaanisha uhalali..na relevant copies of
certificates
lake zone....central zone.....southern