Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

mkuu utatusaidiaje sisi ambao tupo huku vijijin? mtupie mtu ambae anaweza kuzitupia huku jf bas mkuu wangu

Nimewatupia watu kibao!!
Invisible mwenyewe nimemtupia lakin kimya
Na alijibu anaziweka
 
Hizi ni tofauti invisible! Kuna za Western ambazo ni Bank officer/ Teller na kuna za Westen zonal ambazo ni teller pekee!!! Hizo nilizokutumia wadondoshee wanajamvi wajimwage uwanjani!!

kaka nimetuma email kwa pm nisaidie hilo tangazo mkuu
 
kuna ndugu yangu pia kapigiwa na nmb akafanye usaili kanda ya kaskazini kesho
 
Kazi 6 lakini applications zitakuwa 23,000
 
tabora ni zone ipi kaka mawazo ujenzi? au huko pia usaili tayari??
 
Kaka mawazo naomba unitumie hizo kaz za nmb email yangu ni robert.mmari@yahoo.com
 
Umemaliza degree hujui mkoa uliopo ni zone ipi? God we are not serious
 
Walitangaza lini ajira hizi?
wadau wakiona tangazo huko mitaani huwa wana'aply kimya kimya bila kutaarifu wadau humu, then baadaye wanakuja kuuliza humu, ".....mshahara sh ngapi?..... ''...short list tayari..?''
 
Umemaliza degree hujui mkoa uliopo ni zone ipi? God we are not serious

Zones hua zinapangwa kitaasisi mkuu. Ndo maana moro yaweza kuwa coast, east or whatever depends na mgawanyo wa nyanda wa taasisi husika. Nadhani wewe ndo tuwe na shaka na shahada yako kama unayo na hujui hilo.
 
asante mkuu unaweza nitumia kwenye email hii nisome vizuri kelvinnyanja@gmail.com
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…