Nafasi za kazi NHIF

Nafasi za kazi NHIF

Nisaidie mi mbona kwenye kile kipengele cha kuatach picha kinagoma? Kwenye ajira portal nafasi hizo za nhif? Msaada please
 
si kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified
nilikua naona apo awali wanalishana matango pori nikasema ngoja nikae kimya ..maana portal haitaki mbwembwe
 
Ukiscan original huhitaji kucertify acheni ujinga, hizo general conditions zipo tu tangu miaka ya zamani huwa havibadiliki, tulia cheti original wait for being shortlisted
 
Ukiscan original huhitaji kucertify acheni ujinga, hizo general conditions zipo tu tangu miaka ya zamani huwa havibadiliki, tulia cheti original wait for being shortlisted
Naona Umejiunga na Jamii Forums 2017 Probably Umemaliza Chuo 2016 Wanavyosema Certified copies za Certicate sidhani kama huwa wanatania wanaamini na inatakiwa Uscan Copies Kisha Ubebe Zikiwa na Original Ndo Upeleke Kwa Mwanasheria Mfano Mimi Nilimpelekea scanned ili acertify Mwanasheria akaniambia Nipeleke na Original Na Ndo Kazi yao inawaambia wafanye hivyo wavione Vyeti kwanza Ndo Muhuri wa True copy of original unagongwa.

Ni hayo tu Dada!
 
si kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified

Hey mkuu,jinsi ya kuifanya profile yako isome 100% ? How?

Sababu unaweza ku fill kila kipengele na attachment zote but ukaishia 85% tu .What is the secret to make it 100% .

Thank you .
 
Hey mkuu,jinsi ya kuifanya profile yako isome 100% ? How?

Sababu unaweza ku fill kila kipengele na attachment zote but ukaishia 85% tu .What is the secret to make it 100% .

Thank you .

100 inasoma kama Una CPA na vyeti professionals mbalimbali
 
Back
Top Bottom