Nafasi za kazi NBS

Mi nimetoka kibit nimekosa hadi nauli ya kurudi hapa napost kwa kutumia wireless ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • PhotoGrid_1502380388542.jpg
    65.9 KB · Views: 64
Ukweli kuhusu hizo kazi kwa mikoani mtu yeyote mwenye sifa za msingi zilizotajwa anaweza kupata ila kwa Dar watawapa vijana wao wa Chuo cha Changanyikeni.Mkurugenzi mkuu wa NBS na VC wa Changanyikeni chuo ni mtu na mme wake hivyo wanapeana shavu.Lkn in long run watakula hela za vijana bure coz watu wengi watasoma hiyo coz ya miezi 2 halafu kazi hazitatosha.Mpaka sasa waliohitimu hiyo coz na wale wa coz za mda mrefu sio chini ya 600
 
wakuu kwa aliyeona tangazo Mwanza naomba atuwekee tujue sifa
 
Matangazo yanasema maombi yatumwe kabla ya tarehe 12/08/2017 hivyo mwisho ni jana tumeishafunga mafail jana hiyo hiyo someni vizuri matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…