ipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu[/
QUOTE]
Sio kwwli sheria inataka watakwimu wenye angalau na elimu ya cheti.Ndo maana wenye shahada,stashahada pia wanatumiwa.Isipokuwa kuna ushirikiano kati ya nbs na eastc ndo maana wanapeana shavu.Ila mtakwimu wa UDSM/UDOM na wa CHANGANYIKENI wote wana sifa sawa i
Nenda ofisi za mkuu wa mkoa kama unaelekea kamanga mkabala na TRA ofisi yao ipo ndani umo
watu kwakupenda slop za kudrop bhana atareeeeNdiyo hivyo sasa.
Yaani, tunapenda spoon feeding kama makinda ya ndege
Maeneo yapo wilaya zote iyo temeke iyoona wameweka nusu siyo yoteIvi kwa dar wilaya ya kinondoni utafiti haufanyiki nimeona temeke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibiti haipo mi ninayo maeneo ya tanzania nzima file la PDFNaomba tangazo la mkoa wa Pwani maana huku kuna Kibiti,Ikwiriri,Rufiji nk.Watakaoomba huku watakuwa wachache so competition itakuwa ndogo.Tutapata hata sisi tusiosoma huko Changanyikeni.
Ila mkoa wa Pwani si upo Mkuu?Nisaidie basi kulipata hata kama si tangazo lote basi vile vitu muhimu tu kama address.Thanks sana.
Haya nimekumegea kidogo mkoa wa pwani na maeneo yakeIla mkoa wa Pwani si upo Mkuu?Nisaidie basi kulipata hata kama si tangazo lote basi vile vitu muhimu tu kama address.Thanks sana.
Naomba tangazo la mkoa wa Pwani maana huku kuna Kibiti,Ikwiriri,Rufiji nk.Watakaoomba huku watakuwa wachache so competition itakuwa ndogo.Tutapata hata sisi tusiosoma huko Changanyikeni.
Naomba ya kinondoni mkuuMaeneo yapo wilaya zote iyo temeke iyoona wameweka nusu siyo yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi katika Kukusanya takwimu Microsoft excel huwa inatumika au kuna program maalumu inayotumika? Wajuvi mnijuzee, tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Program ngumu sana hiyo excel asee,Excell inatumika kwenye data inputs na kuanalyse hizo data
Watafiti wengi hupenda kutumia statistical package kuanlyze data zao kama SPSS au STAA.. R. na nyinginezo excel is for layman's.Excell inatumika kwenye data inputs na kuanalyse hizo data