We toa macho tu watu tunatoka kibit kuja kupiga kozi ya CAPI we upo dar unaranda randa tu ebu ngoja nikuonjeshe kidogoAcha kuzingua basi Kibiti ni mkoa wa Pwani Ilala umefuata nini.
ni kozi gani na kanagharimu shilingi ngapi?Nimefata izo nafasi na kusoma kale kakozi kao ka siku 3 ili angalau niwe na sifa za ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kutoa tangazo la kazi ndiyo kupata kaz!,hii ni hatarHaya kazi ndiyo hizo .
Utasikia mbona ofisi zao huku mkoani hatuzijui zilipo. Ooh oooh, watu hawana vyeti ,mara sijui mishahara ni kiasi gani na porojo rukuki sana.
Lakini , mambo ndiyo kama hayo.
Duh mbona hela ndogo hivyoNimejaribu kufuatilia huku nilipo kwenye ofisi zao ( IRINGA) bahati nzuri nikakutana na mtu ninayemfaham kiasi hapo ofisini, kwenye story mbili tatu nikamchomekea na ishu ya mshiko imekaaje? Akaniambia ni laki 3 per month.
Sent using Jamii Forums mobile app
Address tumia ya halimashauri ya mkoa unaoishi, nenda kwenye ofisi ya halmashauri utakuta tangazo na maelekezo mengine.
ipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tuNBS wanakaupendeleo na wanachuo wa changanyikeni sijui kwa sababu mama mkurugenzi mumewe ndo VC pale chuoni
hii ya HBS mtu yeyote anaweza kuomba maana hawawezi kupata watu wengi hivyo waliosoma hiyo koziKama hujasoma kula changanyikeni usijisumbue kuomba HUPATI
Sio kweli kama ni ivyo wasingesema ni sifa ya ziada mtu kua na cheti cha takwimu kutoka EASTC wangesema ni lazima soma maelezo ya mtangazo ya kazi kila mkoa utaelewaipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu
Acha kuwalisha wenzako matango pori kila mkoa una ofisi ya takwimu na adress zake so watu wanatuma kwenye adress za ofisi ya takwimu mkoa sio almashauriAddress tumia ya halimashauri ya mkoa unaoishi, nenda kwenye ofisi ya halmashauri utakuta tangazo na maelekezo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku mje mseme tumependelewa wakati watu amtaki kuja kusoma CAPI wengine mpo hapa hapa dsm mna zurura zurura tuView attachment 560473
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha takwimu na ada ni 50000 watu waliishaanza hii ni awamu ya 3 awamu 2 ziliishasoma so na iyo CAPI ndio inatumika kwenye kukusanya takwimu ya zile nafasi 450Mkuu hio CAPI unasomea wap na ada yake ni sh ngap
Hivi kumbe hujui wasomi wa bongo ndio wanaongoza kwa mshahara midogo kuliko kipato cha machinga kwa mwezi?
So hata ukiwa na masters ya statistics hawakutambuiipo hivi sio upendeleo ni kwmba serikali imepitisha Sheria kuwa takwimu zote rasmi za serikali zitakusanywa na watu waliosoma kozi maalum ya data collection ambayo inapatikana Eastc Changanyikeni kwa muda wa miez 2 tu
Hawakutambui mkuu, yani wale jamaa wanataka wakitangaze chuo chao kupitia nafasi za kazi.So hata ukiwa na masters ya statistics hawakutambui