mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
Ni kweli ni lazima uwe na basic ya statistics either ngazi ya cheti,diploma,degree,master's au PhD, by the way hiyo ni Kazi ya kitaaluma sio sensa kwa wabebwebebwe tu watu,ni taaluma hiyo otherwise kulikuwa hakuna umuhimu wa kuiintroduce ifundidhwe vyuoni,Anachokisema mkuu hapo ni kweli, hao jamaa kama hujasoma course yao hupati! Labda wawe wamebadilika kwenye awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ni lazima uwe na basic ya statistics either ngazi ya cheti,diploma,degree,master's au PhD, by the way hiyo ni Kazi ya kitaaluma sio sensa kwamba wabebwebebwe tu watu,ni taaluma hiyo otherwise kulikuwa hakuna umuhimu wa kuiintroduce ifundishwe vyuoni,
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushilawadu watu waombeHaya kazi ndiyo hizo .
Utasikia mbona ofisi zao huku mkoani hatuzijui zilipo. Ooh oooh, watu hawana vyeti ,mara sijui mishahara ni kiasi gani na porojo rukuki sana.
Lakini , mambo ndiyo kama hayo.
Kaka msaada tafadhali hivi wanaposema uwe na cheti, hawamaanishi certificate ile ya miezi 12?, na kama wanamaana ya ngazi ya cheti hiyo ya miezi miwili inatolewaje na kwa utaratibu gani.Kama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Kama kuna kaukweli hivi kwa mbaaaaali ingawa kuna wachache wanapata in rare casesHao wabinafsi kweli,wao hata kama umesoma takwimu ila sio chuo kile cha ESTARC usijisumbue
Hahaha majanga Sana'a hawapendi kusumbua akili zao katika kufikiri kabla ya kuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tangazo vizuri mkuuJamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu [HASHTAG]#ufafanuzi[/HASHTAG] please
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha...usiwakatishe watu tamaa kaka ni bora kujaribu kuliko kutojaribu kabisa waache wajaribu bahatiKama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Ulikuwa na connection ndo maana bila kusoma course yao na bila connection ni mara chache sana hadi Mungu aweke mkono wakeAcha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tu
Sanasana uwe na background ya statistics au research based course ,experience ya kufanya research pia inaweza kusaidiaTusaidieni jamani mnaojua vizur vigezo vya kuomba kaz NBS hizi zilizo tangazwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaSanasana uwe na background ya statistics au research based course ,experience ya kufanya research pia inaweza kusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
wanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosaKaka msaada tafadhali hivi wanaposema uwe na cheti, hawamaanishi certificate ile ya miezi 12?, na kama wanamaana ya ngazi ya cheti hiyo ya miezi miwili inatolewaje na kwa utaratibu gani.
Msaada ndugu yangu nipate taharifa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakitoa kazi huwa wanalipa mishahara kwa mwezi au posho kiasi gani?wanamaanisha cheti cha data collection kinatolewa chuo cha takwimu kwa miezi miwili,ada yake ni 450,000 na application ni 30,000 so andaa kama 480,000,ukisoma hiyo utakuwa na uhakika wa kazi kwakuwa wanavikazi vingi vingi so vijimilioni milioni hutovikosa