Kwani lazima wote muombee Dar, wengine muende hata Simiyu
Acha kudanganya wenzio makao makuu yapo kibukoni ukivuka wizara ya mambo ya nje jengo linalofuata ndio makao makuuNenda ilipokuwa makao makuu ya NBS posta oposite na NBC bank
Hao wabinafsi kweli,wao hata kama umesoma takwimu ila sio chuo kile cha ESTARC usijisumbuenbs kama hujasoma short coarse yao ya statistics hela yak ww kanywee bia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya wenzio makao makuu yapo kibukoni ukivuka wizara ya mambo ya nje jengo linalofuata ndio makao makuu
Inafanyika Tanzania nzima kwa miezi 12,ndio maana unaambiwa uombe kwenye mkoa ambao wewe unatoka,kwakuwa wanajua kwa malipo wanayotoa ukienda mkoa ambao sio orign yako na Huna malazi kwa muda huo hutoweza kusurviveJamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu [HASHTAG]#ufafanuzi[/HASHTAG] please
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ofisi yao hawajawahi kuhama,makao makuu yapo palepale,branchi nyingine ipo mkwepu na ya mkoa wa dsm ipo kwa mkuu wa mkoa, unaposema wamehama hivi juzi juzi sikuelewiUtakuwa unaifahamu ofisi ya hivi.juzi.
Tambua kuwa HQ sasa imejengwa dodoma soon wataenda huko.
Na nikisema opposite na NBC unatakiwa ujiongeze.
Kama unahitaji kuelewa uandishi wangu hebu soma comment yangu namba #2 utaelewa.
Owkey nimekuelewaaa mkuuHii
Inafanyika Tanzania nzima kwa miezi 12,ndio maana unaambiwa uombe kwenye mkoa ambao wewe unatoka,kwakuwa wanajua kwa malipo wanayotoa ukienda mkoa ambao sio orign yako na Huna malazi kwa muda huo hutoweza kusurvive
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekeshaMkuu, kweli,
Ona tayari comment namba #4.
Yaani, vijana hatutaki kujishughulisha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha
Acha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tuKama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Anachokisema mkuu hapo ni kweli, hao jamaa kama hujasoma course yao hupati! Labda wawe wamebadilika kwenye awamu hii.Acha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tu