Nafasi za kazi NBS

Excell ina kazi zake lkn haiwezi kurun data.SPSS na STATA ndo packages zinazotumika sana sana.
Upo sahihi kabisa in addition to that....kuna SAS pia ni great stat. Soft package for data analysis

sent from TanDaLe
 
Hii kazi nilijua itakuwa majanga tu. Kwa gombania goli ya namna hii kudadadeki ni dhahiri kuna wengi watalia.
Hela yenyewe laki 3 kwa mwezi ptuh...

Wakati angekuwa Walter Reed hapo huo mshahara ni ndani ya siku 4 tu unahesabu ya laki nne kasoro. Huku na huku mzee John Hopkins akikupa mchongo huo huo ndani ya siku tano tu umekunja hela ya hao NBS ya mwezi mzima. Hapo hamna la zaidi ya unyonyaji tu.

Kazi hizo wanazo watu wa NGO bhana sio hao mafala!
 
Nakubalia na wew tatizo hapo mwishoni tu ndio sikuungi mkono
*hao mafala*


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…