Nafasi za kazi MUCCoBS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi MUCCoBS

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kyvo, Mar 11, 2012.

 1. K

  Kyvo Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kwa wale wote waliomaliza degree, masters katika fani tofauti tofauti, kuna nafasi nyingi za kazi zimetangazwa Moshi University. google MUCCoBS zicheki
   
 2. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Wadau wengi naona wanakazi zao bwana, kama hawajachangamkia fursa hii!!
  Ingekuwa umesema TRA!! ungeshangaa!!!
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengine simu zetu hazifungui pdf.Ungezikopi hapa ili iwe rahisi kuziona!
   
 4. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wenye PC mtusaidie sisi tunaotumia visimu vya mkononi!
   
 5. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wacha tufanye kujaribu bahati yetu maana tumekaa sana mtaani na kunachosha
   
 7. korino

  korino JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  thx ila hizo zlishatoka cku nyingi na dedline yake ilikuwa 19 march
   
Loading...