Nafasi za Kazi Moshi: Assistant Accountant na Office Administrator

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Nafasi tajwa hapo juu zinahitaji watu.

Mshahara ni Tsh. 300,000.
Mahali ni Moshi Kilimanjaro.

Kama upo interested, tuma cv kwa info@starrich.co.tz

NB. Onyesha kazi uliyoomba.
 
mkuu,husemi jina l kampuni, location ya ofisi zenu (moshi kubwa sana) ,hujatoa hata website yenu
sio kwa ubaya lakini tangazo lako halijakaa powa
 
Sio kuibiwa pesa tu hata akimla mke wa bosi au binti wa bosi asilaumiwe maana ndio marupurupu yake.
Mshahara wa waitress huo kwenye hoteli za kawaida kabisa.
Nipo kampuni moja mtu ana masters degree analipwa laki 6, degree holders wote wanalipwa laki tano, kwa halia ya sasa ya ajira atapokea maombi ya watu sio chini ya mia moja
 
Nipo kampuni moja mtu ana masters degree analipwa laki 6, degree holders wote wanalipwa laki tano, kwa halia ya sasa ya ajira atapokea maombi ya watu sio chini ya mia moja
Hali ni mbaya kwa kweli
 
Nipo kampuni moja mtu ana masters degree analipwa laki 6, degree holders wote wanalipwa laki tano, kwa halia ya sasa ya ajira atapokea maombi ya watu sio chini ya mia moja
500k as a gross salary au take home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom