papa clemee
New Member
- Sep 4, 2012
- 2
- 1
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI.
Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike
na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye
sifa zifuatazo;
01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea
02. Awe na elimu darasa la saba, kidato cha nne na kuendelea
03. Awe na akili timamu na afya njema
04. Awe hajawahi kushitakiwa kwa makosa yoyote ya jinai, na awe tayali
05. Awe amepitia mafuzo ya Mgambo (militia) JKT au mafunzo yanayotambulika na serikali
ya Tanzania.
06. Wenye udhoefu katika kada mbalimbali kama vile vitengo vya mbwa, cctv camera,
watapewa kipaumbele.
Mwombaji atatakiwa kuambatanisha vitu vifuatavyo katika barua yake ya maombi;
Meneja mwajili
01. Barua ya maombi ya kazi na picha mbili (2) za passport
02. Barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaaikiwa na piccha yake
03. Nakala ya kitambulisho cha kupiga kura, kitambulisho cha taifa/ Mzanzibar mkazi/leseni
ya udereva
04. Awe na barua mbili za wadhamini waliothibitishwa na serikali ya mtaa, na picha moja
moja ya paspoti size kwa kila mdhamin.
Mwisho wa Maombi ni tarehe 29 June 2025. Maombi yatumwe kwa;
SYNERGY SECURITY Ltd,
P.O.BOX 452323
DAR ES SALAAM.
Au kwa email; synergysecuritz@gmail.com
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255753950002.
===
Job Vacancy: Security Guards
Company: SYNERGY Security (T) Ltd.
Location: Dar es Salaam, Zanzibar, Arusha, Lindi, Dodoma, Mbeya
Deadline for Applications: 29th July, 2025
About Us
SYNERGY Security Ltd. is a modern and leading security services provider, delivering reliable
and professional armed and unarmed security guards, tactical security teams, concierge and
mobile patrol services, as well as security equipment installations such as CCTV systems. We
serve residential, commercial, governmental, NGO, and industrial sectors.
Launched in Tanzania in 2023, SYNERGY Security (T) Ltd. is committed to designing and
implementing tailor-made security programs with a strong focus on professionalism and quality
service delivery.
Position: Security Guard
We are seeking vigilant and disciplined individuals to join our growing team of security
professionals. The successful candidates will play a key role in safeguarding premises, assets,
staff, and visitors
Key Responsibilities
Qualifications
applicants)

- Patrol designated areas to prevent theft, vandalism, and illegal activities
- Monitor CCTV cameras and alarm systems
- Conduct regular security inspections and perimeter checks
- Respond promptly and effectively to emergencies and incidents
- Prepare clear and accurate daily activity reports and incident logs
- Enforce safety procedures and company policies
- Perform first aid when required
- Serve as a dog handler (optional based on interest)
Qualifications
- Must be a Tanzanian citizen
- Minimum academic qualification: Form IV Certificate
- Completion of JKT or Militia training is an added advantage
- Strong observation, reporting, and communication skills
- Knowledge of incident reporting and first aid
- Calm, alert, and reliable in high-pressure situations
- Must possess valid Tanzanian identification documents:
applicants)
- Must be a resident of one of the listed duty stations
- Interested candidates should submit the following:
- Updated Curriculum Vitae (CV)
- A brief Cover Letter
- Two recent passport-size photos