Nafasi za kazi CRDB BANK

Dah! Nina G.P.A 4.0 but nimemaliza diploma mwaka huu june 29 (Diploma in Accountancy-T.I.A), Sijui hata kama nikiaply nitapata?
 
Naskia Kuna Nafasi Zimetka Za Kaz Crdb Bank Soma Fresh@hekimatele
 
jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
siku hizi wanachukulia chuo moja kwa moja,me nna bro wangu alimaliza ifm sasa hv anafanyakazi hapo crdb na wala hajapeleka maombi hila waliandikwa majina wakati wapo chuo mwaka wa mwisho hapo ifm na hata serikalini wameanzisha hii tabia kama ulisikia hata polisi mwaka jana walichukua waliyotoka shule moja kwa moja.
 
mi hii habari ya kuajiriwa mie nimeishaiacha,kwa sasa mimi nasema na credit officers tu.

Kama kuna credit/loan officer humu ndani naomba nitumie private message ili tuonge dili za kazi naamini nawe utafaidika sana ndugu yangu.Mie ni valuation surveyor kwa profession.
Huku ndio kujiajiri wanajamvi.
PLEASE CREDIT/LOAN OFFICERS mlioko kwenye banks mbalimbali
 
hakikisha GPA yako haiko chini ya 3.5 atleast. uwe unajua kutumia common programs za computer vizuri, ujue kuwasiliana vizuri kwa kiingereza,
sifa za ziada, uwe na mvuto (mzuri kwa mabinti na handsome kwa wakaka) hii ingawa hawaisemi openly lakini ni marketing point of view, uwe kijana na ujiamini
 

hata sasa hivi nasikia ifm wamebandikiwa wanaotaka kwenda jeshi la polisi..
 

kwanini mkuu usiende benki wakati kuna benki zaidi ya 40 tanzania kwa sasa?
 
Tuma maombi yako na cv yako kwa director of human resources kama una vigezo utaitwa kwenye interview muda wowote. Namjua dada mmoja alijiandikia tu maombi ya kazi baada ya muda mrefu kidogo akaitwa kwenye usaili na amepata kazi tawi moja huko Bukoba
 
Dah! Nina G.P.A 4.0 but nimemaliza diploma mwaka huu june 29 (Diploma in Accountancy-T.I.A), Sijui hata kama nikiaply nitapata?

kuna tangazo walilitoa wakasema wanataka watu wa bachelor tu na sio chini ya hapo..
 
dah hata mm pia nimeomba sana ila kwa sasa nimemwachia mungu sababu kuna maisha zaidi ya CRDB nadhani Mungu ndo mtoa riziki kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…