Nafasi za kazi CRDB BANK

swiswi

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
27
Reaction score
3
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
 
wanajamii naomba hasa kujua kitengo cha loan officer:clap2:
 
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze

Kama huna wa kukushika mkono pale bora utafute kazi kwingine,swala la vigezo sio shida cha muhimu uwe na mtu anayekufahamu sababu kuna jamaa namjua kapata kazi CRDB post ya assistant accountant wakati yeye ana advanced diploma in information technology..Kazi ni kwako
 
Asante sana ndugu zangu,kuna mtu ndani ya CRDB bank anasema perfomance ktk vyeti inamata sana.Vp hapo?
 
Hapana bwana yule jamaa alipelekwa department ya IT kama IT Assistant, lakini hata hivo CRDB ni full kujuana.
 
Hata mimi nilishatamani na mpk sasa natamani,na nilishawahi kujiuliza na kuuliza hapa,iweje daily ukiingia crdb unaona faces mpya bt sijawahi ona tangazo la kazi hata moja?nway acha waibiane mpk ije ifilisike maana ndio wanachofanyaga watu wa kujuana,aah ngoja nichukue hiki si najua fulani yupo sitafukuzwa bana
 
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze

crdb ww mchaga? na uchaga tu hautoshi lazima ushkwe mkono
 
piga shule, omba mungu, kokote kazi unapata. Hakuna wa kuziba ridhiki aliyeipanga mwenyezi mungu. Period!
Sijui utabadiri vipi kabila lako uwe wa kule upate kazi CRDB!
 
Asante sana ndugu zangu,kuna mtu ndani ya CRDB bank anasema perfomance ktk vyeti inamata sana.Vp hapo?

Uyo kakuzingua tu ili kukuvunja nguvu...It doesn't matter what you know but whom you.
 
Bank teller.........!! just trying to figure out!!
 
ukiona mtu anazungumzia kabila ujue ni mfuasi wa CDM,

prove me wrong

mkuu hapa sio siasa tafadhali tunajadili kazi vijana wanataka waingie branch wapige matransaction ya hatari wajipatie mkate wa kila siku.
 
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
Mkuu GPA inabidi iwe Upper Second preferebly 3.8 hii nilisikia mwenyewe kwa masikio yangu branch ya mnazi mmoja opp na access bank kama nimepatia jina owkei...sema design hiyo conversation niliyo i over head ni kama jamaa alikua anampigia pande mtu..so nikaconclude kwamba kujuana kupo..!!! kama vipi twenzetu bank zingine tu mkuu...!!!!!
 
mkuu hiyo GPA wanasema tu ila nikuambie kitu kuna watu wana pass na wanapiga kazi kuna form six wanapiga kazi. kama ulikuwa huijui hiyo chukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…