dongbei
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 158
- 147
Academic staff pia wameanza kuitwa kama College ya Informatics and Virtual education wameitwa, Education wanasailiwa Jumamosi College nyingine kwa kada za waalimu kama Earth Sciences ni wiki ijayo so stay tuned!
Asante kwa taarifa mkuu. Vipi na hawa wa College of Natural and Mathematical Sciences.