Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dodoma

Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dodoma

Hawa Chancellor angekuwa Chenge tu, UDOM ni pachafu mfano hakuna linapokuja suala la ajira.
 
Hivi utartb gani unatumika kuitwa interview pale UDOM.either wataweka majina kweny website yao.or kila mmoja atajulishwa kivyake..?
Na huwa inachukua mda gani hadi interview kutok ck ya deadline?
 
cjajua. mi mwnyewe nasubir njue moja
 
Hizo kazi mara nyingi kuna watu wao,inakuwa bosheni kuwatangazia.Kuna moja nilihudhuria mdada nilikuta yupo close na head kumbe msailiwa mwishowe amepata shavu sie kapuni.
 
Hivi utartb gani unatumika kuitwa interview pale UDOM.either wataweka majina kweny website yao.or kila mmoja atajulishwa kivyake..?
Na huwa inachukua mda gani hadi interview kutok ck ya deadline?
majina wanatoa kwenye website na pia wanakupigia simu
lakini uhakika zaidi ni kwenye website kwani unaweza usipatikane kwenye simu
 
UDOM wameanza kuita watu kwenye interview...majina ya interview ya 23rd january yanapatikana kwenye website yao.
 
Naona website yao haifunguki. Vipi lakini wameita na short list ya academic posts? Au wameanza na za administration?
 
Wameanza na Administration..
Wameitwa maDrivers..Office assistant..HR...
 
Naona website yao haifunguki. Vipi lakini wameita na short list ya academic posts? Au wameanza na za administration?

Academic staff pia wameanza kuitwa kama College ya Informatics and Virtual education wameitwa, Education wanasailiwa Jumamosi College nyingine kwa kada za waalimu kama Earth Sciences ni wiki ijayo so stay tuned!
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, nilitupia application upande wa college ya health sciences... Ngoja niwasikilizie week ijayo
 
Back
Top Bottom