Nafasi za kazi (afya) JWTZ

Jeshi lingekuwa productive lisingekuwa na Budget serikalini. Tena budget ya jeshi inapita kimya kimya bila mbwembwe za kambi ya upinzani wala chama Tawala.

By the way unataka niwe kwenysystem gani ndo tuende sawa??.

Wewe unadhani Wanajeshi au jeshi linapenda kwenda huko Darfur, Lebanon, DRC kwenye vita ambazo hata historia zake hawazijui wala hawana maslahi na iyo vita???

Hiyo ni mikataba ya UN. Kama umekubali kuwa member country wa UN, once ukiombwa Wanajeshi wa kulinda amani lazima uwatoe.

Jeshi linatumia mamilion ya pesa Kutrain wanajeshi kwa ajili ya kulinda nchi yetu na sio kwenda kupeleka wanajeshi wetu wakafe ndo tupate pesa. ( Iyo Idea yako ni ya kipumbavu kuwai tokea)

Tanzania hatuna vita na nchi yoyote. Mipaka yetu ipo salama. Hatuna haja ya ku recruit Wanajeshi ambao hawana kazi. Narudia tena.

Hao JKT wakimaliza mikataba yao Waendelee na maisha mtaani. Kwani vijana wengine wanaishije?? Warudi mtaani waganye ujasiriamali.
We we Ni Mjinga Usiyeelewa lolote juu ya jeshi Bora Ukae Kimya

N.B #Shwain
 
We we Ni Mjinga Usiyeelewa lolote juu ya jeshi Bora Ukae Kimya

N.B #Shwain
Sawa sawa Afande
20181213_090714~2.jpeg
 
Mkuu ebu rudia tena hizo namba zako.. yaan askari 7000 wanastaafu kwa kila mwaka?? Hapana nasisitiza hapana..
Ni muongo kweli huyo jamaa askari 7000 wanastaafu wakati intake moja ya ajira wanakwenda depo askari hawazidi 2500 sasa hawa 7000 mbona jeshi lingekuwa limeishiwa askari mpaka sasa
 
Back
Top Bottom