Zipo Taasisi kibao kama hujui ambazo zinatengeneza pesa ya kufa mtu na chenji wanapeleka serikalini. Ref. Tanapa, Ngorongoro na nyingine. Ngorongoro wanalipa wafanyakazi wake na kufanya manunuzi yao wao na pesa ikibaki baada ya mwaka wa fedha kuisha wanapeleka chenji serikalini we unataka kusema nini. Narudia tena Jeshi sio productive.
Huwezi ukasema jeshi/ Taasisi ni productive wakati izalisha 20% inapewa 80% ili ifanikishe malengo yake. Iyo productivity unayo izungumzia ni ipi?????
Productivity ya jeshi ni Mipaka ya nchi yetu kuwa salama tuu. As long as tuna usalama hapo ndo jeshi lina perform 100%
Narudia tena, hakuna haja ya kuajiri wanajeshi kama hakuna uhitaji. Unataka kusema ww ndo unajua uhitaji sana wa Jeshi kuliko wao wenyewe? Wewe unadhani kuwa na wanajeshi wengi ndo kushida vita??
Jifunze uchumi broo. Hii dunia nyingine sio ile analogy. Kila kitu kinafanyiwa optimization. Sababu kuna scarcity ya resources. Kama wananchi mmoja mmoja wanapunguza Matumizi kwann serikali i over spend??
Serikali pesa zake zote zinaishia kwenye Standard gauge na Stieglas gouge. Vitu ambavyo havina priority havina nafasi.