Bwana weeeee izo statistics za kazi gani?? Kama jeshi lina uhitaji wa watu lazima ajira zitangazwe. Is a simple logic. Kama hakuna uhitaji anira Noo.
Wewe unaona Serikali inapigana kubana matumizi, ww unalazimisha serikali iajiri watu ambao ni un productive hawaingizi hela yoyote zaidi ya kupokea Mishahara tuuu.
Kwanza hatuna Vita, Mipaka yetu ipo salama. Wanajeshi wa kazi gani???
Once serikali ikiona kuna uhitaji itaajiri according to capacity. Sio kuajiri kwa mazoea tu.
Hata ww unakunywa maji ukiwa na kiu. ndo maana hunywi maji muda wote.
Jeshi limegundua lina upungufu wa wahudumu wa Afya limeamua kuajiri hao. Sasa ww unasema kuna ma injinia, wahasibu, wagavi, nani kasema jeshi lina upungufu wa izo fani????
Once wakiwa na upungufu utaona wanatangaza ajira.
Haihitaji akili kubwa kuelewa ninacho sema