Achimwene-Masasi
Member
- Nov 26, 2018
- 72
- 47
Habari wana JF ,jana nimesikia tetesi kwamba jashi la wananchi jwtz limetangaza nafasi za kazi ktk kada ya afya kwa lengo la kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya afya vya jeshi..tafadhali mwenye uhakika/more details atujuze