Shirika lisilo la Kiserikali la Zinduka DIF lenye makao yake makuu Bunda linahitaji wahitimu au wenye Diploma wa kufanya internship waliosoma Accounts.
Waombaji watagharamiwa chakula na malazi muda wote wa internship na watapewa posho ya kuendesha maisha!
Anayehitaji atume cover letter na CV kwa mmadoro02@gmail.com na zinduka02@yahoo.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tar 20 Mei 2015
Kwa maelezo zaidi tembelea: www.zindukadif.org