Nafasi za Hosteli kwa wasichana 2019-2020

TWAALIB

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
12
Reaction score
9
Tunapenda kuwajulisha wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tunazo nafasi za kutosha katika hosteli yetu mpya iliyopo kariakoo mtaa wa livingstone Dar es salaam.
Vyumba vyetu vina uchaguzi tofauti ikitegemea na matakwa ya mtaa. Tuna vyumba vya mtu mmoja, wawili, watatu au wanne. Bei ni nafuu.
Kwa mawasiliano tupigie:
0787 347 468/0713 227 608
 
Attachments

  • IMG-20190820-WA0004.jpg
    IMG-20190820-WA0004.jpg
    96.6 KB · Views: 32
  • IMG-20190820-WA0006.jpg
    IMG-20190820-WA0006.jpg
    51.8 KB · Views: 29
  • IMG-20190820-WA0008.jpg
    IMG-20190820-WA0008.jpg
    28.3 KB · Views: 30
  • IMG-20190821-WA0011.jpg
    IMG-20190821-WA0011.jpg
    30.2 KB · Views: 17
  • IMG-20190821-WA0010.jpg
    IMG-20190821-WA0010.jpg
    36.3 KB · Views: 21
Weka bei hapa kwa hostel zilizopo mtaa wa Livingstone
 
Tunapenda kuwajulisha wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tunazo nafasi za kutosha katika hosteli yetu mpya iliyopo kariakoo mtaa wa livingstone Dar es salaam.
Vyumba vyetu vina uchaguzi tofauti ikitegemea na matakwa ya mtaa. Tuna vyumba vya mtu mmoja, wawili, watatu au wanne. Bei ni nafuu.
Kwa mawasiliano tupigie:
0787 347 368/0713 227 608.
Mkuu nimepiga hiyo namba ya kwanza akapokea mdada-nashangaa ananiambia nikome badala ya kunisikiliza. Hiyo namba ya pili inaita bila kupokelewa. Sasa tuelewe vipi?
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Badilisheni "huto tugodoro",mtaua watoto watu migongo
√ Ni Ushauri tu lakini..
 
Mkuu nimepiga hiyo namba ya kwanza akapokea mdada-nashangaa ananiambia nikome badala ya kunisikiliza. Hiyo namba ya pili inaita bila kupokelewa. Sasa tuelewe vipi?
Samahani Mkuu nilikosea katika kuandika nambari ya simu badala ya 4 nikagonga 3 nambari hasa ni 0787 347 468. samahani kwa usumbufu wewe na wengine na dada ambaye tumeitumia nambari yake kimakosa.
 
Weka bei hapa kwa hostel zilizopo mtaa wa Livingstone
Bei inategemea na matakwa ya mteja, tunavyo vyumba kwa mtu mmoja chenye choo 374.000 kwa mwezi,
watu wawili 196,500 @ kwa mwezi, watu watatu 136,000 @ kwa mwezi na 95,000 @ kwa watu wanne.
Karibu sana
 
Bei wapi kwani siri?

Back
Top Bottom