nafasi ya wanawake wa viongozi kitaifa katka kutoa matamko

kemaha

Senior Member
Dec 29, 2012
146
119
Mila na destuli za kiafrica zimajulikana hasa kwenye kipengele cha ndoa....
hua napata wakati mgumu kuona je,ni sahihi mke wa kiongozi mkubwa wa kitaifa kupewa nafasi kubwa ya maoni....?? na hyo nafs inahesabiwa kwa mbadala wa mmewake while Habr ya uongozi ni kipaji na kipo mwilini..it's inborn with. na sio kitu kma Mali ya familia flani ambayo ni rahisi kujua vzr miongoni mwao.
 
Vp wanaume ambao wake zao ndiyo viongozi unashauri wapewe heshima sawa na hadhi za wake zao au!
 
Back
Top Bottom