Tutorial ASSISTANT. Sio lecturer wala TUTORNilimkoti "mtu mwenye shahada atamfundishaje mwanafunzi wa shahada?" Ni siku aliyoongelea ishu ya kuvifunga baadhi ya vyuo...jaribu kuingia page ya mwananchi fb utaipata hii ishu
uliyopitia wewe sio lazima na wengine wapitie. nafkiri mhusika ameskia. abaki na nia yake ya kutafuta ualimu, kama atakua na wazo la kufanya zaidi afanye.Kikubwa, ninachokiona tunakosa hapa nyumbani ni kuwawezesha wengine, kufungua njia za ajira kwa watu wengine, nakwambia vitu ambavyo ninauzoefu navyo. Nimeona watu wakiongea kama wewe na mwishowe wanaishia kulaumu watu kuwa hawakumbiwa mapema. Naona unaongea kwa tamaa zaidi, lakini ipo siku utaelewa zaidi.
Hapo ni sawa,mimi nimempa disadvantage ya hizi kazi,wewe ummepa advantage ya hizi kazi,sasa achague yeye.uliyopitia wewe sio lazima na wengine wapitie. nafkiri mhusika ameskia. abaki na nia yake ya kutafuta ualimu, kama atakua na wazo la kufanya zaidi afanye.