Nafasi ya Tutorial Assistant

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Habarini wanataaluma.

Nina dhamira na Nia ya dhati ya Kuwa MWALIMU wa chuo kikuu,
Nina shahada ya kwanza,
G.P.A 3.9,

Nimejitahidi Ku_apply nafasi ya Tutorial Assistant (T.A) kufuatia matangazo mbalimbali ya vyuo Tofauti,
Ila bado sijabahatika Hata kuitwa Kwenye usaili.
___
Nimekaa limenijia Wazo la kujaribu kutuma barua za maombi ya nafasi hiyo ya T.A katika vyuo mbalimbali nchini,
vya umma na vya binafsi,
Pasipo vyuo hivyo kutangaza nafasi za kazi.

JE,
kuna uwezekano wa maombi hayo kuzingatiwa?

Nawasilisha.
 
Mmh ngoja waje na mimi nijue!! Thou kwa universities sidhan kama wataendelea kuajiri wenye digrii kwa lile alilolisema ndalichako...!!
 
Nilimkoti "mtu mwenye shahada atamfundishaje mwanafunzi wa shahada?" Ni siku aliyoongelea ishu ya kuvifunga baadhi ya vyuo...jaribu kuingia page ya mwananchi fb utaipata hii ishu
 
ILA KWA VYUO VYA UMMA WANAOFUNDISHA NI WALE WENYE SHAHADA ZA UMAHIRI NA KUENDELEA,
T.A WAO HUFANYA KAZI ZINGINE NA SIO KUFANYA MIHADHARA.
 
Ambition is more like a drunken alcohol. Sasa utitorial jaman unakutuo roho na more likely academicians in our country is starbon arena. Ila kipenda roho hula nyama mbinyi
 
Sijaielewa vema mantiki yako mkuu balimar.

Ungefafanua kidogo.
 
CoET-UDSM wana sera ya kuchukua product za Udsm tu hasa kama unataka kuwa TA...My advice chukua Masters itakupa urahisi wa kupata nafasi vyuo vingi.
 
Hongera kwa kua na nia ya kufundisha. ni career very satisfying kama una value system ya kupenda kuishi kwa ajili ya watu.
-ni career ambayo ina mapato ya wastani, majukumu mengi na kujitolea kwingi. mara zingine huja na lawama za kutosha kutegemea na responsibility ulizo nazo
-mara nyingi requirements za Gpa ni 3.8 minimum kwa bachelor degree kama una apply kama TA for academic staff. lakini pia inategemea na idadi ya watu, competence zao zingine na uhitaji pia kwenye usaili
-kwa gpa hiyo basi una competition kubwa zaidi. ili uwe na nafasi bora zaidi, ni vizuri usome masters, na masters ambayo ni mchepuko ule ule na ulichosoma degree yani uwe more specialized. na uhakikishe piga ua unapata gpa ya 4.0 and above, chini ya apo manake hau qualify kua assistant lecturer na zaidi ume attempt masters na kufeli kwa kiwango cha kua mwalimu wa chuo. baada ya hapo utakua na better chances.
-lingine, sio kila chuo cha kifundisha, ukipata vyuo vya serikali mijini unaweza kua na nafasi bora zaidi ya kufanya na mengine.
-kila la kheri, usiache kujipanga na maisha mengine kwa kusubiri uchu wa kua mwalimu wa chuo.
 
Nilimkoti "mtu mwenye shahada atamfundishaje mwanafunzi wa shahada?" Ni siku aliyoongelea ishu ya kuvifunga baadhi ya vyuo...jaribu kuingia page ya mwananchi fb utaipata hii ishu
kwa sheria za vyuo, TA ana fanya assitance kwa assitant lecturer, lecturer and above. hua haruhusiwi kufundisha. lakini pia ni lazima chuo kiajiri TA ili kufanya succession na kukuza wanchini kuja juu wakiwa na values za chuo husika.
 
Hongera kwa kua na nia ya kufundisha. ni career very satisfying kama una value system ya kupenda kuishi kwa ajili ya watu.
-ni career ambayo ina mapato ya wastani, majukumu mengi na kujitolea kwingi. mara zingine huja na lawama za kutosha kutegemea na responsibility ulizo nazo
-mara nyingi requirements za Gpa ni 3.8 minimum kwa bachelor degree kama una apply kama TA for academic staff. lakini pia inategemea na idadi ya watu, competence zao zingine na uhitaji pia kwenye usaili
-kwa gpa hiyo basi una competition kubwa zaidi. ili uwe na nafasi bora zaidi, ni vizuri usome masters, na masters ambayo ni mchepuko ule ule na ulichosoma degree yani uwe more specialized. na uhakikishe piga ua unapata gpa ya 4.0 and above, chini ya apo manake hau qualify kua assistant lecturer na zaidi ume attempt masters na kufeli kwa kiwango cha kua mwalimu wa chuo. baada ya hapo utakua na better chances.
-lingine, sio kila chuo cha kifundisha, ukipata vyuo vya serikali mijini unaweza kua na nafasi bora zaidi ya kufanya na mengine.
-kila la kheri, usiache kujipanga na maisha mengine kwa kusubiri uchu wa kua mwalimu wa chuo.
Ahsante sana kwa ushauri wa kina mkuu.
 
mkuu una masomo gani...mfano udom huchukua science na maths 4.0 gpa and above!
 
Kijana acha kujipotezea muda na hizi kazi, TA, (hakuna anayekujali, inachukua kama miaka sita kuja kuanza kuona matunda ya kazi zako,lakini hata hivyo utanza kufaidi baada ya kuwa senior lecturer sasa sijui ni lini)Fungua kampuni yako, tumia akili yako kutoa ajira kwa vijana wenzio . Ila hizi za TA , AL,L SL na PF hazina masilahi tena unajiletea umaskini tu, tafuta kazi nyingine, ushauri tu.
 
Sio kila mtu ana malengo ya maslahi tu, wako wanaopenda kuitolea jamii. pia sio kila mtu ni kiongozi na anaweza kumiliki kampuni, wengine wanazalisha zaidi kwenye mazingira ya kufanya kazi na sio kua managers/leaders.
Je, amesoma mtu paka anafika say 24years old, ndo iwe miaka 6 mingi?
je iyo kampuni akifungua mwezi wa kwanza tu ndo ataona matunda?
 
Kikubwa, ninachokiona tunakosa hapa nyumbani ni kuwawezesha wengine, kufungua njia za ajira kwa watu wengine, nakwambia vitu ambavyo ninauzoefu navyo. Nimeona watu wakiongea kama wewe na mwishowe wanaishia kulaumu watu kuwa hawakumbiwa mapema. Naona unaongea kwa tamaa zaidi, lakini ipo siku utaelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom