Nafasi ya Tanzania katika uchumi wa Dunia

Hapo ume exaggerate saana Sijali, ndio Tanzania ina rasilimali nyingi... But kwamba ni nyingi ukiunganisha Comoro, Chad, Burkina Fasso, Gambia, Bangaladesh.... alafu hapo hapo nakadhalika... Sijali tafadhali naomba fuatilia rasilimali ya hizi inchi ndo ufananishe. Ukitaka kufananisha fananisha tu jirani yetu hapa wa Ruanda uone jinsi Kagame anavyofanya kazi, Hiyo inchi ndogo tena imekumbana na matatizo yalioacha kovu ambalo halitakuja futika katika historia lakini kamshinda nafasi mbili Tanzania the so called inchi ya amani....

MINERAL WEALTH…..we talk of ; Oil, gas, gold, uranium, cobalt, diamond, tanzanite, coal, platinum, and so forth ………

TOURISM POTENTIALS we talk of; World second Largest Lake (Victoria) World Longest lake (Tanganyika) Africa's Highest Mountain (Kilimanjaro) World Largest game reserve (Serengeti) Africa's Largest national park (Ruaha) World heritage sites ( Seoul game reserve, Stone Town, Olduvai gorge, Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro, Bagamoyo) wonders of the world ( Ngorongoro) (Serengeti's migration) Long Costal line, with beautiful beaches and beautiful islands (Zanzibar, Mafia, Unguja, Pemba, bwejuu and more..) which TANZANIA IS IN A POSSESSION OF ALL THESE and MANY MORE…………. in abundance.

The source of languages such as (KISWAHILI) which is the East African language, the most favored the most acceptable and the most dominant language in Africa even in all movies acted in africa being west,east, south or north swahili is official africans language.

Tanzania is only African country to participate in the liberator of African Southern Regions' independence (South Africa, Zimbabwe, Namibia, Angola, Mozambique, Seychelles) and (Uganda, Congo DRC, Rwanda, Burundi)………..by all means it could.

ARCHITECTURES who were so committed in building a multiracial society on the basis of racial equality that racism and tribalism have been virtually banished from national life.

A unique achievement that has not been duplicated anywhere else in Africa……….and most parts of the world. Africa's long standing-model of POLITICAL and SOCIAL stability, echoed by quality governance, transparency and the rule of law.

A well marshaled society, with the highest national self-consciousness, master-minded by a GENIUS of SOCIAL engineering; a LEGEND with matchless merits and a FATHER of unquestionable integrity.

Legendary: JULIUS NYERERE…….R.I.P

We talk of one country and the only……… TANZANIA, A TERRA FIRMA OF IDEALISM AND A LAND OF NEVER-ENDING POSSIBILITIES.
 
MINERAL WEALTH…..we talk of ; Oil, gas, gold, uranium, cobalt, diamond, tanzanite, coal, platinum, and so forth ………

TOURISM POTENTIALS we talk of; World second Largest Lake (Victoria) World Longest lake (Tanganyika) Africa’s Highest Mountain (Kilimanjaro) World Largest game reserve (Serengeti) Africa’s Largest national park (Ruaha) World heritage sites ( Seoul game reserve, Stone Town, Olduvai gorge, Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro, Bagamoyo) wonders of the world ( Ngorongoro) (Serengeti’s migration) Long Costal line, with beautiful beaches and beautiful islands (Zanzibar, Mafia, Unguja, Pemba, bwejuu and more..) which TANZANIA IS IN A POSSESSION OF ALL THESE and MANY MORE…………. in abundance.
The source of languages such as (KISWAHILI) which is the East African language, the most favored the most acceptable and the most dominant language in Africa even in all movies acted in africa being west,east, south or north swahili is official africans language.
Tanzania is only African country to participate in the liberator of African Southern Regions’ independence (South Africa, Zimbabwe, Namibia, Angola, Mozambique, Seychelles) and (Uganda, Congo DRC, Rwanda, Burundi)………..by all means it could.
ARCHITECTURES who were so committed in building a multiracial society on the basis of racial equality that racism and tribalism have been virtually banished from national life.
A unique achievement that has not been duplicated anywhere else in Africa……….and most parts of the world. Africa’s long standing-model of POLITICAL and SOCIAL stability, echoed by quality governance, transparency and the rule of law.
A well marshaled society, with the highest national self-consciousness, master-minded by a GENIUS of SOCIAL engineering; a LEGEND with matchless merits and a FATHER of unquestionable integrity.
Legendary: JULIUS NYERERE…….R.I.P
We talk of one country and the only……… TANZANIA, A TERRA FIRMA OF IDEALISM AND A LAND OF NEVER-ENDING POSSIBILITIES.

i411 What are you trying to insinuate???
That am not aware of the facts you have written in your post???
That am not aware what kind of man Mwalimu Nyerere was???
Or that I am not aware of our history and what part Tanzania played in assuring the independence of other states....

I don't know where its coming from but my quick guess would be as a result from what I comment in the other post (s) and by using the one you have quoted... I do agree with all the things you have written in your post but I do not agree that Tanzania rasilimali imeshinda nchi zooote hizi zilizotaja nakadhalika put together.. NDIO we have potential that most nations but huo mfano ni too much for you are undermining the potential of other nations while so overestimating you own....

Na pia umesahau kataja the most important fact ambayo inatufanya tuwe exceptions katika ulimwengu wa science; Tanzania is the only place in the world which has provided proof of the oldest man to have existed through fossils found in Olduvai Gorge.

Do better than that for sijakupata bado wala sijakubali bado ....
 
All I wanted to say we have something special but not better than few countries combine not many wananchi wanajua vile vitu tunavyo na thamani yake katika dunia hii.
 
Thank you... Nimeelewa. i411 Katika inchi ambayo wananchi wake wako ignorant kuhusiana na nchi yao naamini nasisi Tanzania tunafuzu bila kipingamizi... Alafu mbaya zaidi ni pale huyo ignorant anapotaka kujifanya anajua tokana na habari za kulishwa tukiwa tumejawa na uvivu wa kudadasi mambo kwa kutumia akili zetu... En ways thankyou for clarifying....
 
Tatizo la Watanzani tunapenda kuongea sana kuliko kutenda na tuko waoga kujaribu mambo mapya. Ifike mahali tutenganishe siasa na uchumi na bila kufanya hivyo tutaishia tu kutamani maendeleo ya nchi za wenzetu Kama Rwanda au Kenya
 
nafasi ya tanzania ktk uchumi wa dunia lazima iwe nzuri kwa sababu uchumi wa dunia unategemea resources zilizoko tanzania ambazo zimeshikiliwa na hao hao wa huko 'duniani' ghafla ukiitoa tz dunia itayumba na faida za mitaji kwenye masoko yao zitashuka. kwa hili dogo tu utajua nani ana uchumi wa tz ktk dunia hii
 
Tatizo siyo Watanzania kuna watu dunia hii wanatuchezesha kama wana sesere na sera alizoweka Nyerere tokea miaka hiyo bado zinawaumiza hawa mafisadi wa njee ndo maana hawataki tuendelee vile tungependa. Tukilegeza tuu kidogo tunaweza kuwa kama DRC vita kila kona visivyoo na maana na mafisadi wamalize madini bila kulipa maposho
 
nafasi ya tanzania ktk uchumi wa dunia lazima iwe nzuri kwa sababu uchumi wa dunia unategemea resources zilizoko tanzania ambazo zimeshikiliwa na hao hao wa huko 'duniani' ghafla ukiitoa tz dunia itayumba na faida za mitaji kwenye masoko yao zitashuka. kwa hili dogo tu utajua nani ana uchumi wa tz ktk dunia hii

Manumbu.... Unaongelea nini vileee???? Mana sidhani kama uloandika maana yake ndo hio.....
 
nisemalo ni kuwa position ya chini tuliyomo kwenye chumi za dunia ni matokeo ya uchumi wetu kuwa mikononi mwa wageni. tukiytaka tusiwe kwenye hizo tarakimu za kusikitisha na kutia aibu lazima uchumi wetu tuushikilie wenyewe na tuyapatayo toka kwenye uchumi yabaki hapa hapa Tz vinginevyo rasilimali zetu zitaishia kuongeza thamani ya hisa za hayo makampuni ya nje yaliyoshikilia uchumi wetu. na siku yakiamua kuondoka, ndo tutaporomoka kwenda kwenye nambari za mwisho kabisa zitakazokuwepo wakati huo!!!
 
Tukianza kuitafuta laana utakuta inaanzia hapa hapa jamii forum...watu allthe time hawafanyi kazi wanachat tu JF...tenana vitendea kazi vya ofisi
 
Manumbu hapa nimekupata saana... Asante, Ila rifiki ile post ulituma... labda kwa kukumbushia niweke nio sentensi utaona ni kwanini sikukuelewa nikafikiri umechukulia mzaha...

"...ghafla ukiitoa tz dunia itayumba na faida za mitaji kwenye masoko yao zitashuka...."

Tanzania kweli ina raslimali nyingi, lakini haijafika kiasi cha kufikia the above statement.... nafikiri utakua uliongea out of exaggeration...

Tukianza kuitafuta laana utakuta inaanzia hapa hapa jamii forum...watu allthe time hawafanyi kazi wanachat tu JF...tenana vitendea kazi vya ofisi

Laana haipo hapa JF, laana ipo pale Boss ulonae haoni, hajali, appreciate kazi unayofanya - wewe ukifanya sana kazi na yule ambae hafanyi ni sawa tu, tena anaweza hata akakupita na kupandishwa cheo.... Boss mwenyewe anashinda hapa JF na bahati mbaya jamvi lake ni JOKES Peke yake angalau angepita majamvi yoote hadi hili huu ujumbe ungemfikia....

Watanzania wataalaamu wapo na wanafanya kazi na end result ikiwa nzuri... Lakini kazi ambayo yaweza chukua a week inafanywa wiki 3.... kazi kweli kweli... sa ingine inachangiwa pia na mshahara.. maisha yamekua magumu - ujuzi wa kazi yako inabidi ulipwe one M' unakuta unapewa lak 5 - Hvyo kupunguza hasira na kutomface boss ndo unakuja kuzimwagia katika forum...
 
Unaenda kazini hakuna umeme basi unajivinjari na kasimu tuu JF siku imepita na kujipepea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom