Nafasi ya Kujiunga na BA in Governance & Development

MS TCDC

New Member
Mar 3, 2016
2
0
MS TCDC inakaribisha maombi ya kujiunga na shahada ya kwanza katika programu ya Governance and Development. Shahada hii ni ya miaka mitatu ambayo inatolewa chuoni MS TCDC- Usa River-Arusha.

Shahada hii inatolewa katika mazingira bora yakufundishia, walimu wenye uzoefu na mambo ya maendeleo nakutoka nchi mbali mbali.

Nafasi za ajira kwa wahitimu wa kozi hii ni kubwa katika asasi na taasisi zisizo za kiserikali na za serikali. Maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti ya chuo www.mstcdc.or.tz au chuoni
MS TCDC.

Kwa mawasiliano zaidi:

MS TCDC
P.O.Box 254
Usa River - Arusha
+255 754 651 715
+255 27 254 1042
mstcdc@mstcdc.or.tz
www.mstcdc.or.tz
 

Attachments

  • BA Adv Banner 5.jpg
    BA Adv Banner 5.jpg
    139.6 KB · Views: 64
Back
Top Bottom