Nafasi ya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by UKWELIWANGU, Dec 11, 2011.

 1. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
  Nafasi: Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi ( Community Development Assistant ) CDA.
  Sifa za mwombaji i. Msichana au Mvulana mwenye umri usozidi miaka 30. ii. Mtanzania. iii. Mwenye shahada au stashahada katika fani zifuatazo. · Community Development · Sociology and Social Development. · Social Works iv. Ujuzi wa kutumia komputa ni sifa muhimu zaidi. v. Awe ana uwezo wa kufanya kazi vijijini. vi. Awe ana uwezo wa kuendesha pikipiki. vii. Awe ana uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa. viii. Awe ameshawahi kufanya kazi na Watoto. Mshahara: Mshahara ni mzuri sana unao zingatia viwango vya mshahara vya serikali na utumishi wa uma kwa ujumla. Atakaye ajiliwa atafanya kazi kwa muda wa mwaka mmoja . Mkataba huo unaweza kurudiwa kama shirika litaridhishwa na utendaji wake wa kazi. Mwajiriwa atafanya kazi chini ya uwongozi wa KINGONET na ataripoti kwa katibu mtendaji. Maombi yote yatumwe kwa;
  Katibu Mtendaji
  KINGONET – Kilwa
  S.L.P 175
  Kilwa Masoko
  Au E-mail; kingonet_kilwa@yahoo.com Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 25 / 12 / 2011 Saa kumi jioni . Usaili utafanyika tarehe 28 / 12 / 2011.
   
Loading...