Nafasi ya kazi ya ulinzi

Nafasi ya kazi ya ulinzi

Shilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?

Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si unajiongeza unatumia mwanya huo kupaki magari ya watu usiku hukosi elfu kumi kwa siku
 
Shilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?

Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata hawa SUMA JKT unawaona wanalipwa hiyo hoyo
 
Suma wanalipwa laki 2.
Wanakatwa bima 20,000 wanapokea 180,000
Kiukweli wanalipwa pesa ndogo sana serikali iangalie namna ya kuwatetea maana 180,000 inakua ngumu sana hata mtu kununua kitanda cha kuanzia maisha
 
Ina maana hawa walinzi wanaolinda bank Na sehemu nyingine ndo Suma jkt...mbona wanalipwa kidogo

Nimezungumzia walinzi walioajiriwa na Suma jkt.
Ina maana huwajui walinzi wa suma jkt? Uniforms zao zimeandikwa Suma jkt.
Iwe analinda benki au popote ilimradi kaajiriwa na Suma basi mshahara ni hyo laki 2.

Na sio wote unaowaona wanalinda benki basi wameajiriwa na Suma jkt, wengine ni kutoka makampuni mengine ya ulinzi angalia uniforms zao tu
 
Suma jkt hana bima. Mshahara 160 overtime 20 mfuko wa jamii 10 take home 170
 
Haya makampuni ya ulinzi yananyonya wafanyakaz wao sana kuna kampuni sintaitaja jina ilikuwa inalinda ofici yetu, tulikuwa tunawalipa tsh 300,000 kwa mlinzi mmoja asiyekuwa na silaha kama unduki.lakin wao unakuta wanawalipa walinzi 150000
Noma kweli
 
Me nadhani walinzi nao ifike muda waamke wanaweza kuanzisha vitu vya kuwafanya waongezewe mishahara
Wanaweza anzisha chama chao wakapanga mshahara uwe kiasi hiki la sivyo hatufanyi kazi
Ni wanateseka sana wale ndugu kiukweli
Masaa 10 kwa af tano si haki
Ila as long as wanakubali hatuna cha kufanya
 
Sawa
Nimezungumzia walinzi walioajiriwa na Suma jkt.
Ina maana huwajui walinzi wa suma jkt? Uniforms zao zimeandikwa Suma jkt.
Iwe analinda benki au popote ilimradi kaajiriwa na Suma basi mshahara ni hyo laki 2.

Na sio wote unaowaona wanalinda benki basi wameajiriwa na Suma jkt, wengine ni kutoka makampuni mengine ya ulinzi angalia uniforms zao tu
 
Ndio maana mnaibiwa yani mtu alinde mamilioni kwa mshahara wa 150k?
 
Wakuu anaitajika mlinzi mmoja wa kulinda eneo kubwa,garage apa dar.
Malipo 150,000/=
Kula na kulala ni apapa
[/QUOTE]
 
Hoyo kama bado ukumpata nifanyie mpango 0713113718
 
Back
Top Bottom