Nafasi ya Kazi ya Ualimu wa Computer(Computer Instructors) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Kazi ya Ualimu wa Computer(Computer Instructors)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Laurence, Jan 16, 2012.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Shule ya Ambassodor zamani ikijulikana kama Happy Skillful ya Tabata Segerea wametangaza nafasi hyo ya kazi kama inavyojieleza kwenye heading,kama una sifa tafadhali leta barua yako ya maombi,CV's na vyeti husika Ofisini Tabata Segerea BS mkabala na ukumbi wa LUKOLO( Office inaitwa JCN COMPUTER ASSOCIATES) kwa maelezo zaidi piga 0714142266 na 0755696168;haya wakuu jaribuni zali hilo kwani tangazo nimelikuta hapo leo na wamenieleza haya sasa jaribuni wadau zali hilo N:B hakuna GPA wala nn wewe peleke vyeti mengine utayapata huko
   
 2. B

  Baba Dorcas Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi npo Arusha, nmemalza last yr, B.Ed with Compt Science, Tumaini Universt, Makumira. Namb yangu ya sm 0658 950 264. Km vp naomben email addres il n2me applctn na cv zangu!
   
Loading...