Sio salon ya fundi maiko mkuu.Hahaha 🤣 🤣 hii ni kazi ya saloon mpaka barua na vyeti Dah ......!
Ata kama aisee ndio mpaka vyeti .... 😂 HahahaSio salon ya fundi maiko mkuu.
Salon za kisasa zina uwekezaji mkubwa sana
Hizi kazi Sasa hatimae tumekumbukwa hadhi yake ipande zaidi maana wajuzi tupo wachache kila raheri kwenye kuzingatia vigezo
Wanaitaji:
• Kinyozi 1
• Msusi 1
• Msafishaji na kuremba kucha 1
Aina ya kazi, kuwezesha:
• Urembo(wanawake)
• Utanashati(wanaume)
Sehemu ya kazi:
• Kivule - Ilala(DSM)
Mwajiri:
• Mtu binafsi
Ujuzi:
• Mwenye ujuzi wa kutosha kulingana na kazi husika, mfano: kunyoa(kinyozi) mitindo mbalimbali. Kutumia dawa na vipodozi mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya mteja pia kutoa ushauri kulingana na hitaji sahihi la mteja.
• Pia aweze kuwa na matumizi sahihi na utunzaji wa vifaa vya kazi.
Maelezo mahsusi:
• Waafanyakazi tajwa hapo juu, wenye utaalam, ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi katika Barbershop na sehemu ya ususi.
• Wawe ni wasafi, wakweli, waaminifu, wenye kuipenda kazi yao, wawe na lugha nzuri kwa wateja, uelewa mzuri wa kazi, wapenda kujifunza zaidi na wenye uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja.
• Pia, waweze kujisimamia kwa kazi za siku kwa siku kwa ujumla na kufuata taratibu za kazi zilizopo.
Malipo:
• Aina na kiasi cha malipo ni makubaliano kulinganana hadhi na eneo la kazi.
Mahitaji:
• Barua ya maombi
• Kitambulisho cha NIDA
• Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa anapoishi.
• Cheti chochote kuthibitisha mafunzo aliyowahi kupata kulingana na kazi husika(faida ya nyongeza).
Tarehe ya mwisho kupokea maombi: 08/09/2024
Mawasiliano:
• Simu: 0757316497
• Whatsapp: 0757316497
Ataweza kweli kunyoa😂
Atakua cheti kakipata wapi Kati kajifunza mtaani kwa watotoAtaweza kweli kunyoa😂
Nimeona mkuu ngoja niichangamkie fasta mkuu .
😂😁😁Ataweza ndioAtaweza kweli kunyoa😂
Vijana mna dharau sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Atakua cheti kakipata wapi Kati kajifunza mtaani kwa watoto
Aisee kumbe ukinyozi nao unasomewa kibongobongo.
Wanaitaji:
• Kinyozi 1
• Msusi 1
• Msafishaji na kuremba kucha 1
Aina ya kazi, kuwezesha:
• Urembo(wanawake)
• Utanashati(wanaume)
Sehemu ya kazi:
• Kivule - Ilala(DSM)
Mwajiri:
• Mtu binafsi
Ujuzi:
• Mwenye ujuzi wa kutosha kulingana na kazi husika, mfano: kunyoa(kinyozi) mitindo mbalimbali. Kutumia dawa na vipodozi mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya mteja pia kutoa ushauri kulingana na hitaji sahihi la mteja.
• Pia aweze kuwa na matumizi sahihi na utunzaji wa vifaa vya kazi.
Maelezo mahsusi:
• Waafanyakazi tajwa hapo juu, wenye utaalam, ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi katika Barbershop na sehemu ya ususi.
• Wawe ni wasafi, wakweli, waaminifu, wenye kuipenda kazi yao, wawe na lugha nzuri kwa wateja, uelewa mzuri wa kazi, wapenda kujifunza zaidi na wenye uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja.
• Pia, waweze kujisimamia kwa kazi za siku kwa siku kwa ujumla na kufuata taratibu za kazi zilizopo.
Malipo:
• Aina na kiasi cha malipo ni makubaliano kulinganana hadhi na eneo la kazi.
Mahitaji:
• Barua ya maombi
• Kitambulisho cha NIDA
• Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa anapoishi.
• Cheti chochote kuthibitisha mafunzo aliyowahi kupata kulingana na kazi husika(faida ya nyongeza).
Tarehe ya mwisho kupokea maombi: 08/09/2024
Mawasiliano:
• Simu: 0757316497
• Whatsapp: 0757316497
Mimi ni mwalimu wa cutting master mkuu😁😂😁😁Ataweza ndio

😂Weka mshahara nijue nisije kukuletea barua alafu mwisho wa mwezi nikulambe na makofi
Hahaha 🤣 🤣 hii ni kazi ya saloon mpaka barua na vyeti Dah ......!