hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Habari ya asubuhi wanajamvi.
Tunatafuta mtu kwa ajili ya kuandaa "USER MANUAL" kwa ajili ya mfumo wa computer tuliotengeneza. Kazi hii ni ya muda mfupi malipo yake ni makubaliano. Pia kama tutaona unafaa tunaweza kukuchukua katika kufanya training kwa mteja wetu ila kwa makubaliano mengine.
Sifa za muombaji anatakiwa awe na background ya IT, uwezo mzuri wa kuandika na kuongea kiingereza na kiswahili kwa ufasaha. Mtu anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa na kwa uaminifu zaidi. Awe na uwezo wa kutumia Microsoft Word kwa kiwango cha "Advanced User" . Awe amewahi kutumia mifumo mbalimbali ya kompyuta(Web Application).
Kama unasifa zilizoorodheshwa hapo juu, tutumie "CV" yako kabla ya tarehe 19/02/2013 kwenye email ifuatayo info@5computerstz.com .
Malipo ni makubaliano, pia waweza kuwasiliana na sisi kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 4 usiku TU kwa kupitia namba ifuatayo 0717363950.
Asanteni sana na karibuni.