Nafasi ya kazi: Meneja masoko

Nafasi ya kazi: Meneja masoko

Verily Verily

Senior Member
Joined
Jan 4, 2007
Posts
192
Reaction score
148
Nafasi ya kazi: MENEJA MASOKO
Tunatangaza nafasi ya kazi ya Meneja Masoko kwenye kampuni inayojishughulisha na masuala ya zabuni, magari n.k.
Majukumu:
1. Kutafuta masoko kwa kutembelea makumpuni na taasisi zinazotoa zabuni
2. Kukagua wafanyakazi na wasimamizi wao
3. Kuadaa mpango mkakati na mpango kazi wa kampuni
4. Kufanya kazi nyinginezo atakazopangiwa na mwajiri.

Sifa za mwombaji:

Awe kijana (wa kike au wa kiume) kati ya miaka 18-35
1. Mwenye afya nzuri, mtiifu na aliye tayari kujifunza mambo mapya hasa ya kazi
2. Elimu: Kuanzia kidato cha nne mpaka diploma yoyote.
3. Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Mshahara: Ni maelewano kutegemea tija ya utendaji wa kazi.
Mwenye sifa hizo awasiliane nasi kupitia: 0714689510 au e-mail: dakarad@yahoo.com au atume maombi yake kupitia: P.O.BOX 65137 Dar es Salaam.
Mwisho wa kupokea maombi ni Alhamisi Agosti 8, 2013
 
Atume nini sasakwenye hiyo email?
CV, application letter au...?
 
shughuli za hiyo kampuni hazijawekwa wazi..mnajishughulisha na nini?maana eti zabuni na magari, sasa kama magari mnayafanya nini?zabunin mnafanyeje?
Nafasi ya kazi: MENEJA MASOKO
Tunatangaza nafasi ya kazi ya Meneja Masoko kwenye kampuni inayojishughulisha na masuala ya zabuni, magari n.k.
Majukumu:
1. Kutafuta masoko kwa kutembelea makumpuni na taasisi zinazotoa zabuni
2. Kukagua wafanyakazi na wasimamizi wao
3. Kuadaa mpango mkakati na mpango kazi wa kampuni
4. Kufanya kazi nyinginezo atakazopangiwa na mwajiri.

Sifa za mwombaji:

Awe kijana (wa kike au wa kiume) kati ya miaka 18-35
1. Mwenye afya nzuri, mtiifu na aliye tayari kujifunza mambo mapya hasa ya kazi
2. Elimu: Kuanzia kidato cha nne mpaka diploma yoyote.
3. Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Mshahara: Ni maelewano kutegemea tija ya utendaji wa kazi.
Mwenye sifa hizo awasiliane nasi kupitia: 0714689510 au e-mail: dakarad@yahoo.com au atume maombi yake kupitia: P.O.BOX 65137 Dar es Salaam.
Mwisho wa kupokea maombi ni Alhamisi Agosti 8, 2013
 
Naona umeweka sanduku la posta, hiyo barua itaenda wapi bila anwani ya kampuni?
 
OK nimekupata ANUANI NI
Mkurugenzi Mtendaji
Dera Traders Ltd
BOX 65137
DAR ES SALAAM
 
Hayo magari na zabuni nk muombaji duty zake mi nini? Haujafunguka watu wakuelewe!
 
...mods nashauri matangazo kama haya yawe yanawekwa na verified users ili kupunguza watu kuingizwa chaka. kazi nyingine watu tunazitaka ila tunahofu ya kupeleka cv zetu tusije ingizwa mjini na wang'oa kucha na meno na matapeli...
 
Umewekewa aina tatu za contacts: Simu, email na Post Office Box. Lipi katika hayo litakufanya ung'olewe kucha. Usihofu hakuna kitu kama hiko.

Bado tunaendelea kupokea maombi. Mwisho tarehe 08.08.2013.
 
Asanteni kwa wale mlioleta maombi. Tunakukumbusheni tena kuwa mwishi wa kupokea maombi ni 08.08.2013
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom