Nafasi ya kazi lodge

Oct 18, 2015
12
3
KIJANA WA KAZI ANATAFUTWA ASIYE ZIDI UMRI WA MIAKA 25, NA AWE NA ELIMU ISIYO PUNGUA FORM FOUR
Contacts: 0719317115
 
toa maelezo ya kutosha jaman...si kwamba mtu huna nia ya kuomba hyo kazi bt somtymes unapotoa maelezo ya kutosha juu ya hyo kazi ni vizur maana inamweka muomba kazi utayar wa kufanya maombi....taja mahala pa kazi mshahara..nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom