Nafasi ya kazi Arusha

Nafasi ya kazi Arusha

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Habari zenu wana JF
Natafuta mtu wa kuuza duka.Duka la nguo,jumla na rejareja mjin Arusha
Sifa za mwombaji.
awe msichana/mwanamke asizid miaka 35.
sibagui dini wala kabila.ila kama atatokea mkoani awe na ndugu Arusha.
elimu kuanzia kidato cha nne.ila kwa darasa la saba awe na uzoefu wa kutosha na kaz kama hizi.
mshahara, comission na mambo mengine tutaelezana.
niandikie au tuma namba nitakupigia.amelinechao@gmail.com
Asanteni.
 
Yupo lakn hana ndugu arusha,kwa saiv yupo dar vp hauwez kumsaidia makazi?
 
xafi xana, 2nahtaji watu kma nyie wanoweza kutengeneza ajira japo c ajira rasmi
 
Safi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daah kila la kheri na Mungu akubariki ili uje uajiri wengi zaidi utupunguzie ma.........
 
Mpigie huyu 0766888066 anaishi Arusha, ni mwaminifu na mchapakazi.
 
nawashukuru sana sana mlionisaidia.kupata mfanyakaz.nafas ni moja tu jaman na wengi wamenipa watu wao.tuombe uzima watakua considered in other time.Thanks in Advance!!
 
Habari zenu wana JF
Natafuta mtu wa kuuza duka.Duka la nguo,jumla na rejareja mjin Arusha
Sifa za mwombaji.
awe msichana/mwanamke asizid miaka 35.
sibagui dini wala kabila.ila kama atatokea mkoani awe na ndugu Arusha.
elimu kuanzia kidato cha nne.ila kwa darasa la saba awe na uzoefu wa kutosha na kaz kama hizi.
mshahara, comission na mambo mengine tutaelezana.
niandikie au tuma namba nitakupigia.amelinechao@gmail.com
Asanteni.
Yule dada wa kichaga aliyekuwepo kashaolewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom