Nafasi ya Kazi: Anayejua kuongea Kiingereza na Accent nzuri

Nafasi ya kazi: Umri chini ya miaka 25, anayejua kusoma Kiingereza vizuri na ana English Accent nzuri ya uhakika.

Mshahara ni laki mbili na utaongezeka kulingana na ufanisi.

Akiwepo Wilaya ya Temeke ni vizuri zaidi. Wasiliana nasi kwa Whatsapp simu no 0626715721.
Mnataka English accent yani awe amesoma Feza au XXX International School alafu Mshahara laki mbili ? Tafuta Wajaluo waliosoma Kenya wako vijiweni huko Rorya uwalipie nauli ya Kwenda Dar ila sio watemeke.
 
Hata kichaa uingereza anaongea hiyo lugha, acha utumwa wa akili.
Hapa ni Tanzania na Kiingereza sio lugha yetu mama. Ni lugha tunayojifunza kwa kulipia ada. Je huko Uingereza ukimkuta Mwingireza anaongea Kiswahili fasaha na chenye lafudhì nzuri, atakufanyia kazi kwa shilingi 200k kwa mwezi?

Haya naomba sasa uuelezee huo utumwa wangu wa akili.
 
Wajinga wengi hawaujui huu ukweli,kiingereza Kwa bongo ni elimu maana ni lazima uisomee.
 
Nafasi ya kazi: Umri chini ya miaka 25, anayejua kusoma Kiingereza vizuri na ana English Accent nzuri ya uhakika.

Mshahara ni laki mbili na utaongezeka kulingana na ufanisi.

Akiwepo Wilaya ya Temeke ni vizuri zaidi. Wasiliana nasi kwa Whatsapp simu no 0626715721.
Oooh Mungu baba wasaidie wanao washinde na hili
 
ila waajiri mnadharau sana, yaani ajue kuongea kiingereza tena kwa ufanisi halafu mshahara laki mbili..? gharama za maisha zimepanda... Laki mbili inaishia kwenye nauli tu na kula
Unajuaje huenda maongezi hayo yatakuwa yanafanyika lisaa limoja kwa siku nne kwa mwezi ?!!!!

Nadhani uliza kwanza sababu binafsi baada ya kuona hivi hii inaweza ikawa ni kazi ya Voice Over / Dubbing jambo ambalo unaweza ukafanya ukiwa kazini kwako kwenye lindo wewe kama mlinzi; and if that the case unaweza wewe kusema ni ndogo wakati kule watu fiver wanafanya kwa peanuts....

We are at the age whereby Supply ya Skills imekubwa kubwa kuliko Uhitaji....
 
Ninazungumza vyema n accent nzuri kabisa kama ya USA kuna siku nilishawah zungumza na wazungu ndani ya kituo cha mwendokasi watu kibao walizani mi si mbongo
 
ila waajiri mnadharau sana, yaani ajue kuongea kiingereza tena kwa ufanisi halafu mshahara laki mbili..? gharama za maisha zimepanda... Laki mbili inaishia kwenye nauli tu na kula
We jua sio level zako piga kimya. Ungekua mtu wa kujichanganya na watu uone wanavyoishi hata usingeona ajabu
 
Back
Top Bottom