kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 42
Wadau naomba kufahamishwa kama ni kweli kahawa ina mchango wowote kwa mwanaume katika tendo la ndoa. Wasalam......
kuna rafik yeye unywa kila siku aliniambia ukinywa hiyo unapiga mzigo kwa muda mrefu bila kuchoka
huondoa zzzzz !!!! so unakesha kifuani