Nafasi wazi ya mwanaume

Nafasi wazi ya mwanaume

Habari wapendwa ,ni binti ambae nilikua na mahusiano kwa Sasa Sina mahusiano
Sijawai kuolewa Wala Sina mtoto

Naomba nitoe fursa hii kwa mwanaume ambae hana mwanamke na anae taka kuongeza mke

Sifa za mwanaume huyo awe mwanaume anae waza maendeleo tu na sio kuwaza ngono huku maendeleo 0.0


Kifupi sitaki mwanaume mwenye tabia za kivurana


Nakuhakikishia utafurai utakae nipata

Onyo usije na majaribu maana Mimi pia Nina majaribu

Njooo pm
we n mkurya au??? yaan kwa unavoandka tu inaonesha una tabia ya ukali na ndo mana wanaume wanakuogopa......afu unataka anayewaza maendeleo je ww unayo hayo maendleo?
 
mwenye shida ndio aje pm .sio unatuita pm kama vile ss ndio tuna shida. tufate pm ww ndio mwenye shida.
namshangaa ana mashart kibaooooo kama sie ndo wenye shda..... nahs hajatosheleza sehemu kwanza alete picha yake kabla asije kuwa flat screen afu anatusumbua hapa
 
nasema hiviiiii bila picha ya chura hatuji inboxiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kivurana?
Sidhani kama we mwenyew unawaza hayo maendeleo
 
Back
Top Bottom