maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,851
Okey mi natafuta mfanyakazi wa ndani japokua mi ni bachelorBado
Okey mi natafuta mfanyakazi wa ndani japokua mi ni bachelorBado
Wishing you the best ov luck..!!Nafurahi kusikia hivyo, I am still taking my time to make an advance to you.
Just stay put.
Wishing you the best ov luck..!!
Haha,Ha ha ha, nilishakosa kabla sijaja.
Haha,
don't be such a coward.!!
Siku hizi mume analelewa na house girl.Ukishapata mume kazi ni kulea mume na watoto
Hahaaa..Madam si ulainishe hzo R kwanza..
Ugonjwa wangu wa kupenda kupauwa umenikosesha mke hivi hiviHabari wapendwa ,ni binti ambae nilikua na mahusiano kwa Sasa Sina mahusiano
Sijawai kuolewa Wala Sina mtoto
Naomba nitoe fursa hii kwa mwanaume ambae hana mwanamke na anae taka kuongeza mke
Sifa za mwanaume huyo awe mwanaume anae waza maendeleo tu na sio kuwaza ngono huku maendeleo 0.0
Kifupi sitaki mwanaume mwenye tabia za kivurana
Nakuhakikishia utafurai utakae nipata
Onyo usije na majaribu maana Mimi pia Nina majaribu
Njooo pm
kumpaua sio kazi ?Ukishapata mume kazi ni kulea mume na watoto
Labda mkeo ndo hajui majukumu yake. Pole!Siku hizi mume analelewa na house girl.
Mama anakuwa hajui hata familia itakula nini?