Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 535
Habari!
Nina rafiki yangu ni askari yupo katika moja ya kambi za mafunzo jeshini, personally ni graduate 2012 japo nimepata pa kujishikiza ila nilikuwa na interest ya kujiunga na TPDF na nlimweleza uyo jamaa yangu ambae jana alinifahamisha kama kuna nafasi zitatoka october kwa graduate na watachukua hadi watu kutoka mitaani km ukiwa na refa mzuri.
So nadhani ni fursa kwetu tena vijana haswa graduates kuichangamkia na alivonambia watapiga pre cadet zanzibar kisha taratibu zingine zitaendelea!