Nafasi pccb link hapa

Nafasi pccb link hapa

NAMSHUKURU MUNGU FOR EVERYTHING....sijabahatika
..
...
Goodluck kwako wewe
 
mlikuwa na mkono mfupi ndio sababu/mkono mrefu kila mahala haijalishi ni wapi wala wapi
 
...mimi niliambatanisha, pia nimeridhika kuwa jamaa si wababaishaji maana kuna mtu ameitwa na wala hana connection yoyote,
 
si wangeniita tu japo kwa hiyo aptitude test nipate ka-experience... dah :angry:
 
Wala msikate tamaa kila mtu ana siku yake. Sitasahau mimi nilipokuwa natafuta kazi, nikaitwa mahali nikaenda, ikafanyika interview, baada ya interview nikaelezwa kuwa ni mimi niliyepata nafasi hiyo, watanijulisha rasmi. Nikarudi nyumbani na matumaini makubwa baadaye kimya kama wiki mbili wakati walisema watanijulisha wiki hiyo hiyo, siku moja ghafla nilikutana na jamaa aliyekuwa kwenye panel akasema mmoja wa wenzengu alikuwa ni mtoto wa mjumbe wa bodi hivyo kapewa yeye, ingawa ukweli ni mimi niliyeshinda!. Frankly speaking niliumia sana hata hivyo nikaendelea kuomba sehemu nyingine na nilipata naweza sema mambo yanaenda vizuri tu.

Hivyo jipeni moyo endeleeni kuomba -pande zingine na kujikita katika ujasiria mali / kama kuna kazi ya kujitolea fanya mfano shule za kata hazina walimu kama ipo karibu na kwenu omba kufundisha utapata uzoefu fulani na pia kupata wasaha wa kuzungumza na watu wengine ambao waweza kukusaidia, pia kama waweza kujiajiri fanya hivyo tu.

Kila la kheri.
 
All the best mlioitwa..........wengine kama mm tujipange God will show us the way
 
Back
Top Bottom