Nafasi pccb link hapa

Nafasi pccb link hapa

mbona sijaona nafasi za investigation officers au ndo bado siku yetu
 
Samahani wadau. Noamba msaada wenu. Nimesoma hilo tangazo, usaili ni tarehe 17 January 2014 kwa Investigation Officers saa 9:00 a.m na kwa Assistant Investigators saa 12:00 p.m. Je hao wengine walioitwa kwenye usaili watapangiwa tarehe nyingine au ndio hizo hizo wanajichanganya humo?
 
Thanks nimeshapata jibu. Nami sikujua hizi nafasi zilivyotangazwa nikaulizwa swali hili na dogo sikupata jibu la haraka. Kumbe nafasi zilizotangazwa ni group mbili tu, hivyo wao wamezitenganisha kutokana na certificates zako. Hivyo inategemea group uliyoombea ndio unakwenda kwenye interview yake bila kujali wamekuweka kwenye category ya Law au Procurement au Accountants. Wote hao ni Investigation Officers au Assistant Investigators. Thanks again.
 
Mie niko hapahapa Dar ndugu yangu......yaani niko njia panda niende kwenye interview au..na nisipo enda afu kumbe ndo mie???daah!!

...well mkuu, kama upo hapa dar nakushauri uende, kwasababu hakuna ubaya wowote ukienda, usipoenda unaweza ukawa umejinyima nafasi adimu coz huenda ukawa ni wewe tu, nenda tu mkuu itakuwa ni wewe huwa kuna miss allocations.
 
Nimekusoma Ndugu yangu Assistant Tutor...barikiwa sana kwa moyo wa kutoa ushauri na maoni ulionao.
 
mm hata sielewi kabisa,, kwa nn hawajanichukua au sababu nimemaliza zamani? maana nina miaka mitano nasaka kazi sijapata ila huu mwaka wangu Mungu atanisimamia kwa kweli
 
Naomba mnisaidie hawa pccb wanafanyaje kazi?na kama umeitwa kwenye professional unaenda kwenye hiyo au ndio utakuwa unazunguka kupeleleza watu?je maslahi yakoje na usalama wa kazi?
 
Wadau hamna anayefahamu hili?"Naomba mnisaidie hawa pccb wanafanyaje kazi?na kama umeitwa kwenye professional unaenda kwenye hiyo au ndio utakuwa unazunguka kupeleleza watu?je maslahi yakoje na usalama wa kazi?"
 
wewe kijana acha hizo,ukimchunguzwa bata hutaweza kumla.
 
wewe kijana acha hizo,ukimchunguzwa bata hutaweza kumla.
Ha ha ha sio kosa mkuu,japo ukifahamu sehemu ipi inaliwa na hipi ailiwi sio mbaya ili uweze kumla vizuri na kupata afya njema usije ukala sehemu zenye madhara.
Japo introduction kidogo sio mbaya
 
Back
Top Bottom