Mkuu Mimi niliomba kazi kupitia LinkedIn nilifollow companies na pia nilikua naandika kwenye search engine CEO na hr managers majina yakawa yanakuja ya CEO tofauti tofauti na pia hr tofauti tofauti nikawa nawaomba nitumie CV waangalie kama nitapata kazi au waniweke kwenye database zao kazi zikitokea waniite ndo huyo mzungu akaniambia nimtumie CV yangu nikamtumia
Akapiga simu tukaongea vizuri akaniambia niende akanione physically pia tufanye interview nyingine ya panel inamaana hatokua pekeyake kwenye hiyo interview ya pili
Mimi kuja jamii forum ni kwakua sina uhakika kama nitapata hiyo kazi pia aliniambia nitakua nasimamia office nzima Sasa sijajua office nzima kivipi wakati sijawahi hata kua supervisorNenda b
Nenda bro, nauli sio shida hata ikipotea, ila usiwaamini ukavuruga kazini kwako.
Na inaonekana umeshakuwa na uhakika na kila kitu na judgements zako, sasa sijui umefuata nini huku?
Kama umejirizisha na hauna wasiwasi, basi huna haja ya kuja huku jamii forums.
Mimi kuja jamii forum ni kwakua sina uhakika kama nitapata hiyo kazi pia aliniambia nitakua nasimamia office nzima Sasa sijajua office nzima kivipi wakati sijawahi hata kua supervisor
Ndo wasiwasi wangu uliopo na swala la mshahara aliniambia tutaongea nilifika dar es salaam mkuu
Sawa mkuu Asante ninazingatia Kila ushauri nitakaopewa humuSasa hayo unayoyauliza sisi tuna majibu yake? Ila kwa kawaida ma kampuni smart huwa hayafanyi hivyo, ni red flag.
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijawahi kuongoza office ndo maana nawaza na sijui aliangalia vigezo gani mpaka akataka nikaongoze office yake
Ww umejuaje kama kazi ni kubwa ili Hali hata huko ofisini kwenyewe hujafika?Nipate kazi lakini kazi imekuja kubwa sana kuliko uwezo wangu
HahahahahDah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niiache tenaWw umejuaje kama kazi ni kubwa ili Hali hata huko ofisini kwenyewe hujafika?
Ushawahi msikia Tobias Kifaru wa Mtibwa Sugar? Au yule Masao Bwire wa Ruvu shooting? Kama una roho nyepesi hupeleki timu uwanjani dhifi yao lakin mpira ukiisha unakuta Ruvu/Mtibwa kapigwa bao za kutosha tu.
Ushaur wangu achana na hiyo kazi fanya mambo mengine.
Position front office/receptionIlikuwa position gani? Ambayo hamja burgain mshahara?
Sasa shostPosition front office/reception
Absolutely.Sasa shost
Huyo mtu ana deal karibu ofisi nzima kwa some staffs.
Lakini sio kiongozi wa kuongoza wakubwa zake kama ambavyo ulianza kuongea mwanzo.
SawaSasa shost
Huyo mtu ana deal karibu ofisi nzima kwa some staffs.
Lakini sio kiongozi wa kuongoza wakubwa zake kama ambavyo ulianza kuongea mwanzo.
Mimi ni ke
Kwa nini umewaza hivi?Duh! Kama ni ke usiende [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], Huyu inaonekana pale katika ndio pana fanya maamuzi na sio ubongo ndio maana anakudanganya anataka kukupa office uongoze, mi naona kakutaman tu huyu ccta,
Kwahiyo nawewe ungekua boss ungempatia kazi mtu bila kukutana nae wala kumfaham kiundani?. Ni taratibu za kawaida za kikazi kabla ya kukabidhiwa majukumu fika ukakamilishe ulichokianzisha. Kuhusu mshahara ni wewe na mbinu zako jinsi ya kunegotiate maana taasisi ninyi za private hazina salary scale, unawezakuta wafanyakazi nmamjukumu sawa na mnafanya kazi zinazofanana na kukuwa na gap kubwa kwenye mshahara kati yenuHabari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima [emoji2][emoji2]
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo
NB kampuni ni ya mzungu
Natanguliza shukrani zangu
Shukrani mkuuUsuache hii fursa. Nenda na Mtangulize Mungu