Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
Hapana mkuu mi hata sijasomea hayo ila ntaomba aisee mtaani kugumu....kila unapojaribu kushika unachemka
mkuu hapa nimecheka sana
Hapana mkuu mi hata sijasomea hayo ila ntaomba aisee mtaani kugumu....kila unapojaribu kushika unachemka
Hapana mkuu mi hata sijasomea hayo ila ntaomba aisee mtaani kugumu....kila unapojaribu kushika unachemka
Umetoa ushaur mzuri sana ila naomba nkukumbushe serikali ya Tanzania hailindi graduates kama serikali nyingine kama ya South Africa.Wanafunzi wa S.A once wakimaliza chuo wanakua na uhakika wa kazi mana foreigner kupata kazi kwa wenzetu ni utata mana wanawapa priority watu wao.
Unavomponda jamaa ni upuuzi unaouonesha mana kila mtu katoka katika back ground tofauti.Mtoto wa Mkubwa wa nchi hawezi kufanya kazi ya laki 3 mana anajua akikaa nyumbani Baba anaweza mpa zaidi ya laki 3 kwa ajili ya kununua mahitaji yake although bado anakaa nyumbani.Mtoto wa mkulima kupata elfu 10 ni tabu sana na ndio mana tunaona better uanzie popote mana ni njia ya kukufikisha utakapo.
Am sorry kama neno lolote nlilolitoa limekukwaza ila kwa kua umeonyesha dharau za kipumbavu

mkuu hapa nimecheka sana, anyway muomba mungu hachoki
Ndugu juzi nilisikia gazeti la Daily News na Habari Leo, walitangaza nafasi 2000 za Viettel, mwenye tangazo atupie basi hilo la nafasi 2000.hawa jamaa wapo serious naona uhuru ilitoa habari zao juu ya mzungumzo yao na kikwete please rushieni tangazo wakuu tuingie mzigonijamani
Wadau Nimetuma Mda Mrefu Yapata wiki Sasa Kuomba Form ya Maombi Kwa Njia Ya Email VIETTEL TANZANIA Mpaka Sasa Naona Kimya Yaani Hawajanitumia, Mwenye Hiyo Formu Naomba anitumie Ili Niweze Kuapply
Natanguliza Shukran
Tuma email mkuu nikutumie badae kidogo.
hv wakuu hiyo form unaprint hlf unascan ndo unatuma baada ya kujaza,kubandika picha pamoja na kusign au inakuaje?msaada wadau
Ina sehemu ya kubandika picha?? Mi nadhan unajazia humo humo kwenye soft copy
Ndugu zangu hii kampuni ni kweli ipo ila naona hawakujipanga vizuri ni jinsi gani wataanza operation zao hapa Tanzania.Ila naona kama wabahili hivi sasa sijui mishahara itakuwaje nashauri kwa mnaomba kazi huku mpati stori za waliofanya kazi Huawei(wawi) inawezekana wasitofautiane sana.Wewe Mvietinam anaenda vijijini kufanya mikataba ya kuweka site hana hata mtanzania anaenda mwenyewe hii kwangu haijakaa vizuri tena amechukua bodaboda na bodaboda amesema alimchukua akiwa peke yake(hakuwa ameongozana na wazawa).Ok inawezekana akatumia technology kuyajua maeneo ila "lugha" itakuwaje mawasiliano na wenyeji.
I am out.
ndiyo mkuu sehemu ya picha ipo