Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

Hawa jamaa ni wabahiri hapana mfano, juzi nimewakuta kigoma hapa kabla ya kufika veta kuna shemu moja kuna bar na vinjwaji, jamaa wanakula ugali na milinda (soda) nilichoka kabisa. Na wanaonekana ni mayanki fulani hivi... yaani machalii wa kimtindo hivi, wanaweza kuwa kweli ni wawekezaji lakini ni dizaini za ujanja ujanja hivi kama wachina wa kaliakoo...
 
Ndugu zangu hii kampuni ni kweli ipo ila naona hawakujipanga vizuri ni jinsi gani wataanza operation zao hapa Tanzania.Ila naona kama wabahili hivi sasa sijui mishahara itakuwaje nashauri kwa mnaomba kazi huku mpati stori za waliofanya kazi Huawei(wawi) inawezekana wasitofautiane sana.Wewe Mvietinam anaenda vijijini kufanya mikataba ya kuweka site hana hata mtanzania anaenda mwenyewe hii kwangu haijakaa vizuri tena amechukua bodaboda na bodaboda amesema alimchukua akiwa peke yake(hakuwa ameongozana na wazawa).Ok inawezekana akatumia technology kuyajua maeneo ila "lugha" itakuwaje mawasiliano na wenyeji.
I am out.

Hawa jamaa ni wabahiri hapana mfano, juzi nimewakuta kigoma hapa kabla ya kufika veta kuna shemu moja kuna bar na vinjwaji (mwembetogwa bar) jamaa wanakula ugali na milinda (soda) sometime wanakula ugali na limao nilichoka kabisa. Na wanaonekana ni mayanki fulani ... yaani machalii wa kimtindo hivi, wanaweza kuwa kweli ni wawekezaji lakini ni dizaini za ujanja ujanja hivi kama wachina wa kaliakoo...
 
Wavietnamu niwajuavyo njaa saana na most of them ni cheap labors katika nchi za South Asia. Nimeishi nao na kusoma nao, pesa yao thamani yake hata Tsh iko juu.
 
jaman nmepga Leo cm kwa huyo agent wao wa njombe.naongea kiingereza mwenzangu hanielew. nkasikia anwambia mwenzie `help me please' nkaulizia details hizo za kazi. nkaambiwa zko nafas Tatu tu. nkamwulza mbona mmeandka kuna nafas 2000 na kuna kada nyng tu ikiwemo ya uhasb na tunaanza kutuma Nov.10. kasema hilo tangazo n la mda mref. hil la sasa halina uhasib. nmeshangaa jaman. msaada tafadhar.
 
Heee...makubwa
 
I do not think if this company is serious,hapa nimepigiwa simu na ndugu zangu kutoka kijijini kuna engineer wa Viatel mara ya kwanza alienda na mtanzania leo ameenda peke yake kijijini anataka eneo la kuweka site.Hajui Kiswahili,kingereza nacho ni introduction to.Namwuliza kama ana e-mail address hatuelewani?Sasa kweli unaweza enda vijijini wewe foreigner peke yako na pikipiki unatafuta maeneo ya kuweka site?
Wewe uliyeko Viatel wambie waache ubahiri,waajiri wazawa,wafanye hizo kazi za kwenda kutafuta maeneo.
Nimemtumia e-mail zangu kwa kutumia simu ya wenyeji sijui kama amenielewa jibu lake "Sorry.i don't time"
Mwisho wa kumnukuu,kwa hiyo sentensi yake hapo juu ataelewanana watu wa vijijini kama english yake ni hiyo?Na unaweza kuta yeye ndiye wanamtegemea anajua English.
"If family don't for rent."
"To me for a different location"
Huyu ni mbishi hapa sijui anamanisha kama familia haitaki kupangisha eneo hilo,atafute jingine.Je atalipataje wakati there is communication barrier.
Sasa ngoja nitumie google translator nimuandikie Kivietinam

Kimsingi umeongea ukweli mtupu.

From the Insider.
 
Sheria za Tanzania zinalimitation ya idadi ya kibali cha wafanyakazi wanaotakiwa kuingiazwa nchini na Kampuni husika, so kwa hawa jamaa serikali inatakiwa iwe macho sana..otherwise wanaweza wakawa wanatengeneza uchochoro wa kuingiza wahamiaji haramu kama Wachina wanavyofanya. Utawakuta wa-Vietenam wanauza vocha barabarani very soon if we dont be careful..
 
Mi pia nahisi wapo serious, nimeona hadi office Zao.sema sijajua ile form ya application tunajaza inline au la.kwa anayejua basi tueleweshane.

Wapo vizuri,mkielewana kuhusu malipo,unapata kazi fasta,

Interview unafanya mbili,moja writen,inausisha paper tatu,IT,FIELD uliyo omba,na aptitude test,

hiyo paper ya mwisho,inabidi ujitayarishe vizuri,ni mtiani unaopima IQ, yako kuna maswali ya kujumlisha na kutoa maumbo mbalimbali,

Mshahara wao ni laki nne 400000,kw kuanzia,ila wanadai utaongezeka,mpaka laki 700000,usaili unafanyiwa na maofisa wao kutoka VIETNAM,wakati wa oral interview,ni vizuri kuwasikiliza kwa makini,maana lugha ya kingereza hawaijui vizuri
 
Shukrani sana mdau
 
Bado maswali ni mengi kuliko majibu, mbona hizo website zote mbili hazihusiani na Vietell?
Itakuaje kampuni international yenye branch nchi 9 itumie email za Gmail? Kampuni gani inaajiri mtu yoyote tu bila kutarget mahitaji yao?

Unajua nilisoma hilotangazo kwenye Daily News, nikajikuta naidharau hiyo kampuni licha ya kwmba inaonekana kuwa kampuni kubwa na iko nchi mbali mbali. Hii itawaharibia taswira yao kwa jamii.

Lakini sikushangaa sana kwa hilo, nikakumbuka hata kurugenzi ya habari ikulu hua wana email ya yahoo (sipendi hilo jambo). Huenda jamaa kwa ugeni wamemkabidhi mbongo afanye maandalizi ya awali......si unajua tena mambo yetuuu mkuuuuuu? kila kitu fursa.
 
Wapo vizuri,mkielewana kuhusu malipo,unapata kazi fasta,

Interview unafanya mbili,moja writen,inausisha paper tatu,IT,FIELD uliyo omba,na aptitude test,

hiyo paper ya mwisho,inabidi ujitayarishe vizuri,ni mtiani unaopima IQ, yako kuna maswali ya kujumlisha na kutoa maumbo mbalimbali,

Mshahara wao ni laki nne 400000,kw kuanzia,ila wanadai utaongezeka,mpaka laki 700000,usaili unafanyiwa na maofisa wao kutoka VIETNAM,wakati wa oral interview,ni vizuri kuwasikiliza kwa makini,maana lugha ya kingereza hawaijui vizuri

Af vipi kuhusu huyo mdau aliyewapigia simu akajibiwa zipo nafasi tatu na hizo 2000 ni za zamani??
 
Hawa jamaa ni wabahiri hapana mfano, juzi nimewakuta kigoma hapa kabla ya kufika veta kuna shemu moja kuna bar na vinjwaji (mwembetogwa bar) jamaa wanakula ugali na milinda (soda) sometime wanakula ugali na limao nilichoka kabisa. Na wanaonekana ni mayanki fulani ... yaani machalii wa kimtindo hivi, wanaweza kuwa kweli ni wawekezaji lakini ni dizaini za ujanja ujanja hivi kama wachina wa kaliakoo...
Unachokisema ni kweli,hata watakao omba kazi wajue,unajua katika kupata maeneo ya kujenga minara kuna watu kibao huwa wanahusishwa say land acquisition officer,RF engineer,civil engineer na wengine ili waone kama eneo hilo litafaa.Sasa mvietinam peke yake ameingia kijijini hata mkalimani hana na ameenda na bodaboda.English yake ndiyo kama niliyoiweka.Kwa kweli serikali waangalie hawa watu ladba kama kuna siasa ndani yake ili mwakani watu waseme "tumetengeneza ajira 2000".Ni kweli tunahitaji kazi ila kampuni zingine utajitafutia stress if not strain.
 
Hizi zote ni njaa za mh. Rais wetu... Anayesafiri kila uchao

hivi kabisaaa ametafuta wawekezaji akaenda vietnam?? jamani vietnam si afadhali ya Tza???

Jamani. Halafu wawekezaji hawatafutwi bhana.. Tunaandaa mazingira wanakuja wenyewe

ipo siku tutakuja kuita wawekezaji wa kufagia ofisi za serikali

HII kampuni ya kiwehu mno huwezi tangaza kazi hazielezi majukumu ya kazi wala specific requirements

yani wamegeneralize tu... Kama zile za forever living

kuna lingine hili...... Kampun kubwa iliyowekeza nchi kufikia 8 haiwezi tumia gmail bhana.. Then ni ya IT?? hv ni kweli??

Halafu hivi mbna wasomi wa Tz wanapenda kujidharau mno... Yaan most of them wanapelekeshwa tu kisa kuwa jobless??? kwamba jobless inakufanya uwe kupelekeshwa na waajiri uchwara

kuna mmoja kasifia mshahara wa 400,000 kachukulia poa yani... Degree holder kulipwa laki 4 kabla ya makato tehhhhhhh

binafsi siwezi omba kazi za kihuni kama hzi

hawa jamaa wamekuja kunyonya nguvu kazi ya tz kama wafanyavyo wachina

wavietnam wana nini hswa??

Serikali yetu iache masihara ktk mambo ambayo ni seriously

tunaliaibisha taifa letu.. Tunakuwa watumwa ktk nchi yetu iliyojaaliwa kila aina ya rasilimali
 
Good for u....wengine tunatafuta hata sehem ya laki mbili walau tuwapunguzie mzigo wazazi wetu hawa wapumue maana kama ni mizigo tumeshawabebesha vya kutosha
 
Back
Top Bottom