I do not think if this company is serious,hapa nimepigiwa simu na ndugu zangu kutoka kijijini kuna engineer wa Viatel mara ya kwanza alienda na mtanzania leo ameenda peke yake kijijini anataka eneo la kuweka site.Hajui Kiswahili,kingereza nacho ni introduction to.Namwuliza kama ana e-mail address hatuelewani?Sasa kweli unaweza enda vijijini wewe foreigner peke yako na pikipiki unatafuta maeneo ya kuweka site?
Wewe uliyeko Viatel wambie waache ubahiri,waajiri wazawa,wafanye hizo kazi za kwenda kutafuta maeneo.
Nimemtumia e-mail zangu kwa kutumia simu ya wenyeji sijui kama amenielewa jibu lake "Sorry.i don't time"
Mwisho wa kumnukuu,kwa hiyo sentensi yake hapo juu ataelewanana watu wa vijijini kama english yake ni hiyo?Na unaweza kuta yeye ndiye wanamtegemea anajua English.
"If family don't for rent."
"To me for a different location"
Huyu ni mbishi hapa sijui anamanisha kama familia haitaki kupangisha eneo hilo,atafute jingine.Je atalipataje wakati there is communication barrier.
Sasa ngoja nitumie google translator nimuandikie Kivietinam