Nafasi 2 za Kazi, Afisa Utafiti Kilimo Daraja La II (Agricultural Research Officer II) TARI

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,438
1,387
The Tanzania Agricultural Research Institute (TARI) was established by the Parliamentary Act No. 10 of 2016 to enhance the strengthening of agricultural research system in Tanzania. TARI as a semi-autonomous body under the Ministry of Agriculture is responsible for all agricultural research activities conducted by the National Agricultural Research System (NARS) in the country.

Post: Afisa Utafiti Kilimo Daraja La II (Agricultural Research Officer II) – 2 Post
Post Category(S): Farming And Agribusiness
Employer: Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
Application Timeline: 2020-05-07 2020-05-21
Job Summary N/A
Duties And Responsibilities
Remuneration TGS D

Duties & Responsibilities
  • Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa kilimo/uchumi kilimo chini ya maelekezo ya afisa utafiti mwandamizi
  • Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea
  • Kuhudhuria mikutano ya Kanda ya kuhuisha programu za utafiti
  • Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yao
  • Kutoa ripoti ya maendeleo ya utafiti na mapendekezo ya utafiti katika mikutano ya kanda ya kuhuisha program za utafiti
  • Kufanya shughuli za utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa afisa utafiti mwandamizi
  • Kuandika mapendekezo ya utafiti chini ya uongozi wa afisa utafiti mwandamizi
  • Kuandika ripoti za miradi ya utafiti kwa ajili ya kupitishwa na afisa utafiti mwandamizi
  • Kufanya majaribio ya husishi ya kilimo ma mifugo katika mashamba ya wakulima kwa kushirikiana na Maafisa Ugani na wakulima wenyewe na
  • Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi
Qualification & Experience
  • Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Kilimo/Uchumi Kilimo/Uhandisi Kilimo au sifa inayolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali
  • Waombaji wawe na ufaulu kwa kiwango cha daraja la pili la juu na kuendelea (GPA in upper second and above) katika shahada ya kwanza
Deadline for receiving applications is 21 May 2020

CLICK HERE TO APPLY
 
Back
Top Bottom