Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

Hivi watu walipata hizi kazi au ndio kama kawaida yao ya awamu ya tano kutangaza kazi hewa
 
  • Thanks
Reactions: vvm
hawa tanapa kwa kupangana,hizi nafasi zilishajaa toka january,wanasumbua watoto wa masikini tu.
 
naona kila mtu ameitwa kwa tarehe yake... wapo wa tarehe 19, 21, 26... ila cha kupendeza usaili ni wasiku moja... hakuna ile usaili et kuanzia siku ya 19 mpaka 26 au 21 mpaka 23....

Angalizo isije kuwa wamekosea taarifa zao vijana wakaenda alafu mka wazingua... haitokuwa sawa hata kidogo... amina
 
Hivi walitangaza account technician na assistnt account si ndio maana naona account technician ni tar 20.
yeah... naona hawa wamekuja na kautaratibu kao... sema... sijajua kila kitu kina isha siku hiyo hiyo au niaje...
 
Back
Top Bottom