Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

Yeah waliitwa wakafanya written na oral wanasubiri tu kupigiwa
Hahaha.
Yani kutoka Deember 2017
Hadi leo August 2018.
Wanataka kuajiri? Hahha is this serious?

Sasa kama sio utani ni kitu gani?
Kiufupi hizi kazi hazikuwepo. "Itakuwa" wamejifanya kutangaza magazetini ili waonekane wana ajira.

Hata ukiangalia kuke ajira.go.tz.
Kila siku wanatangaza kazi ila angalia walioitwa kazini.

Hakuna.

Drama drama

Unajua suluhisho ni nini?
 
Mkuu lete michongo tufungue kanisa sasa
 
Hahaha.
Yani kutoka Deember 2017
Hadi leo August 2018.
Wanataka kuajiri? Hahha is this serious?

Sasa kama sio utani ni kitu gani?
Kiufupi hizi kazi hazikuwepo. "Itakuwa" wamejifanya kutangaza magazetini ili waonekane wana ajira.

Hata ukiangalia kuke ajira.go.tz.
Kila siku wanatangaza kazi ila angalia walioitwa kazini.

Hakuna.

Drama drama

Unajua suluhisho ni nini?
Sjui mimi suluhisho
 
Back
Top Bottom