Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

warden na ecologist hizo zingine sina uhakika sana na enail inasomeka kama hivo kwente picha
Mkuu tupe taarifa kamili inaonekana Kuna vitu unajua...wameita fani zipi ulizosikia hadi Sasa?
IMG-20181024-WA0005.jpeg
 
Kabisa nikumshukuru Mungu kwa yote roho iliniuma sanaaa Maana hata nauli na hela yakukaa lodge nilikopa mpaka sasa sijapata hela ya kulipa daaah
usikate tamaa ya kuomba ipo siku utabahatika, pole sana
 
Hadi Sasa kozi walizoita ni;
1.Park warden
2.Ecologist
3.Secretary
Mnaojua kozi zaidi ya hizo na waneita mtujuze ili msaidie wengine kutosubiri meli airport.
 
Back
Top Bottom